Naomba mbinu za kupunguza uzito kwa haraka

Charliemic

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
585
919
Habari zenu, mimi ni mrefu wa sentimeta 183, awali nilipima nikawa na kg 104. Uzito huo ulinitisha nikaamua kuanza mazoezi na kubadili life style. Nimeacha kutumia soda, maana hapo kabla kila siku nilikuwa Lazima ninywe soda/grandmalta, pia nimepunguza kiasi cha ulaji. Jioni huwa nakula matunda tu!

Kila wiki lazima nikimbie mara nne au mara tano ambapo kwa siku nakimbia kilomita 8 hadi kumi! Nimefanya hivyo kwa mwezi mmoja lakn nimepunguza kilo tatu na nusu tu!

Nifanyeje niweze kupungua kwa haraka zaidi?

-------------------++++++++++++-----------
Leo tarehe 13 May nimepima uzito ni kg 97. Nimefurahi maana ni positive change!

Nilipunguza ulaji tena! Mchana nakula nusu ya mlo niliokuwa nakula pale awali, asubuhi nikiamka glass ya maji uvuguvugu na limau! Jioni matunda baada ya kutoka jogging 8-10Km

Hivyo ndani ya miezi mitatu nimedrop kilo 7! Ila ni kwa vumbi na jasho
 
Kilo 3 katika mwezi mmoja ni nyingi mkuu. Jipe muda na endelea na mtindo mpya wa maisha utapungua zaidi.

Jipe hata miezi 6 utapata matokeo ya jumla. Tatizo huwa tunataka kupungua kilo 10 katika wiki 2, kumbuka huo ni mwili na unahitaji ku adjust a lot of systems. Utadhurika ukipungua kilo nyingi kwa ghafla.

Kupungua kilo 3 ndani ya mwezi sio mbaya kabisa na you must be thankful mkuu.
 
Kilomita 8 ni kutafuta kujiua bure --- are you preparing for Marathon, ama?

Unachohitaji tu ni brisk walking kwa dakika 20-30 daily, na CHANGE OF LIFESTYLE, especially the food you eat, then ^killer-key-2^ kitakuwa sawa soon.

But, why did you come to 104 in the first place!? Sifa au!? Anyways, usikate tamaa. Punguza junk foods.

Unaweza kula a lot of non-caloric foods na mwili wako ukawa mzuri kama hivi :)
 
Kilomita 8 ni kutafuta kujiua bure --- are you preparing for Marathon, ama? Unachohitaji tu ni brisk walking kwa dakiukawa nka 20-30 daily, na CHANGE OF LIFESTYLE, especially the food you eat, then ^killer-key-2^ kitakuwa sawa soon. But, why did you come to 104 in the first place? Sifa au? Anyways, usikate tamaa. Punguza junk foods. Unaweza kula a lot of non-caloric foods na mwili wako ukaw
Non caloric foods ni zipi!?
 
Kilomita 8 ni kutafuta kujiua bure --- are you preparing for Marathon, ama!??? Unachohitaji tu ni brisk walking kwa dakiukawa nka 20-30 daily, na CHANGE OF LIFESTYLE, especially the food you eat, then ^killer-key-2^ kitakuwa sawa soon. But, why did you come to 104 in the first place!??? Sifa au!??? Anyways, usikate tamaa. Punguza junk foods. Unaweza kula a lot of non-caloric foods na mwili wako ukaw
Kwa sasa natamani kuongeza muda niwe nafanya mazoezi dakika 90 hadi 120, kama nikifika 85Kg ndio nishushe muda up to 30 minutes
 
Kwa sasa natamani kuongeza muda niwe nafanya mazoezi dakika 90 hadi 120, kama nikifika 85Kg ndio nishushe muda up to 30 minutes
Usifanye hivyo Mkuu utaulazimisha moyo kusukima damu kwa kiwango kisicho sahihi.

Fanya hivi Amka alfajiri saa 11.30kunywa maji glass 2 Kisha BAADA ya DK 10 Anza zoezi la Kutembea haraka haraka kwa muda wa dk 30.ukirudi home baada ya kukoga kunywa juisi ya giligilani ya majani glass 1.

Fanya hivyo kwa wiki 3 Kisha leta mrejesho . Vinginevyo tukupe dawa mbadala Ni mwezi 1 TU mafuta na minyama yooote kwisha ila ujiandae kupunguza NGUO zako
 
Habari zenu, mimi ni mrefu wa sentimeta 183, awali nilipima nikawa na kg 104. Uzito huo ulinitisha nikaamua kuanza mazoezi na kubadili life style. Nimeacha kutumia soda, maana hapo kabla kila siku nilikuwa Lazima ninywe soda/grandmalta, pia nimepunguza kiasi cha ulaji. Jioni huwa nakula matunda tu!

Kila wiki lazima nikimbie mara nne au mara tano ambapo kwa siku nakimbia kilomita 8 hadi kumi! Nimefanya hivyo kwa mwezi mmoja lakn nimepunguza kilo tatu na nusu tu!

Nifanyeje niweze kupungua kwa haraka zaidi?
Kwanza kabisa huwezi kula matunda jioni. Matunda yanaliwa wakati Asubuhi kabla hujala kitu tumboni. Pili punguza kula vyakula vya mafuta na acha kabisa kula nyama ya aina yoyote ile. Asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu kunywa maji ya uvuguvugu glasi 3 glasi moja kamulia limao usitie sukari wala asali. Ukitaka kupunguwa kwa haraka nitafute kwa wakati wako ili nikupe dawa ya kupunguwa haraka mwili wako una kilo nyingi sana unaweza kupatwa na maradhi ya Presha na kisukari jihadhari sana.
 
Kwanza kabisa huwezi kula matunda jioni. Matunda yanaliwa wakati Asubuhi kabla hujala kitu tumboni. pili punguza kula vyakula vya mafuta na acha kabisa kula nyama ya aina yoyote ile. Asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu kunyw amaji ya uvuguvugu glasi 3 glasi moja kamulia limao usitie sukari wala asali. Ukitaka kupunguwa kwa haraka nitafute kwa wakati wako ili nikupe dawa ya kupunguwa haraka mwili wako una kilo nyingi sana unawezakupatwa na maradhi ya Presha jihadhari sana.
Nashukuru mkuu umeniongezea kitu, sitaki kutumia dawa, nahitaji nipungue kwa mazoezi tu, nitatumia warm water with lemon, kila asubuhi!
 
Kilo 3 kwa mwezi ni nyingi sana,
Nilikua na 105kg November, nikapiga zoezi mwezi mzima nakata 1kg,

Ilipofika January nikawa nakula matunda jioni,mchna nakula ukubwa WA ngumi ,niliginga 80kg wife anasema nnatisha,

Nimezipandisha kidgo 85kg
 
Je asubuhi unakula nn
 
Mm nakushauli anza kuhudhulia sana ibada na kuwa karibu na mungu wako, pindi tutkapokufa miili yetu inakwenda kuzikwa huku cc tumeiweka ktk uzito tuutakao swali je umemuandalia mm mja wako? Baaada ya kufa mwili huzikwa na roho hurudi kwa muumba na matendo yote sasa utaulizwa umeuutumiaje ujana wako? Umepataje mali zako na ukazitumiaje? Hapo ni roho mwili haupo tena ,nakushauli kuwa karibu na mungu wako hayo maswala ya mwili usiyaweke sana akilini,
 
Kilomita 8 ni kutafuta kujiua bure --- are you preparing for Marathon, ama?

Unachohitaji tu ni brisk walking kwa dakiukawa nka 20-30 daily, na CHANGE OF LIFESTYLE, especially the food you eat, then ^killer-key-2^ kitakuwa sawa soon.

But, why did you come to 104 in the first place!? Sifa au!? Anyways, usikate tamaa. Punguza junk foods.

Unaweza kula a lot of non-caloric foods na mwili wako ukaw
Non calorific foods?

Ndo zipi hizi unazodhani anaweza ku survive bila kula chochote kingine?
 
I hope humwambii asile kabisa.

Labda umwambie ale calories in deficit.

I am very interested in your meal plan. Share it.
I mean it. Asile kabisa.

Mimi nilikuwa nakula once a mininum of 48 hours and typically once every 72 hours. Nikikaa sawa napiga 100+ hour fasts.

Muda wa kula nilikuwa nakula kweli kweli but ketogenic foods - fats & protein only, no carbs.

Total caloric restriction is easier than trying for a caloric deficit balance
 
Usifanye hivyo Mkuu utaulazimisha moyo kusukima damu kwa kiwango kisicho sahihi.

Fanya hivi Amka alfajiri saa 11.30kunywa maji glass 2 Kisha BAADA ya DK 10 Anza zoezi la Kutembea haraka haraka kwa muda wa dk 30.ukirudi home baada ya kukoga kunywa juisi ya giligilani ya majani glass 1.

Fanya hivyo kwa wiki 3 Kisha leta mrejesho . Vinginevyo tukupe dawa mbadala Ni mwezi 1 TU mafuta na minyama yooote kwisha ila ujiandae kupunguza NGUO zako
Mkuu..heb nidadavulie hapa...mfano mtu ndo umeanza zoez huna muda mref...ukifanya heavy routine ya zoez ni nzur au si nzur kwa afya ya moyo wako?
 
I mean it. Asile kabisa.

Mimi nilikuwa nakula once a mininum of 48 hours and typically once every 72 hours. Nikikaa sawa napiga 100+ hour fasts.

Muda wa kula nilikuwa nakula kweli kweli but ketogenic foods - fats & protein only, no carbs.

Total caloric restriction is easier than trying for a caloric deficit balance
Intermittent fasting uki combine na Keto halafu usijue mpangilio wa vyakula atachoka mno.

Ningeshauri aanze na fasts za 8-12 hours huku akiongeza mdogo mdogo halafu zile fast windows zizodi Kupungua then anaweza kuchagua OMAD( One Meal A Day) ama keto whichever suits him.
 
Back
Top Bottom