Namtafuta mwizi wangu rb ya kesi ninayo kisheria sitaiweka wazi

kj75

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
491
590
Habar,

Ndugu zangu Kama kichwa kinavyojieleza Mimi ni kijana ninaejitafuta, Kuna kibiashara Huwa nafanya.
Nikapata kikazi Fulani nje ya mkoa wangu ambacho nalipwa 15,000 Hadi 20,000 Kwa siku nikasema Bora nikapige hicho kikazi ila huku kwenye kibiashara changu nimuweke dogo mmoja wa kijijini ambae najua hata akikimbia ni rahis kumkamata.

Ijumaa jioni nikamuagiza achukue pesa sehem Fulani 500k nikamwambia naomba hyo Hela asubuhi niwekee kwenye akaunti yangu akauliza naweza kukuwekea hata Sasa hivi?? Nikamwambia Kwa ilikuwa jioni Sana Kama SAA Moja inaelekea SAA mbili nikamwambia aitunze tu atanitumia asubuhi.

Dogo hyo asubuhi ya jumamosi kazma simu kachomoka sijui Yuko wapi ila namtafuta na file nimefungua polisi.

Lengo la Kuja kwenu ni kwamba ni kweli dogo kwenye simu hapatikaniki ila Facebook anaingia hata messenger anasoma sms wataalamu wa mitandao,It mnaweza kunisaidia??? Kumpata?
 
Kwa hiyo shida yako unataka akamatwe kabla hiyo Pesa hajaimaliza,kama ni hivyo njoo PM
 
Back
Top Bottom