Naomba kutajiwa beach za Kigamboni

Naomba kutajiwa beach za Kigamboni

Kunduchi beach wet n wild water park kiingilio 23,000 pamoja na chakula kinywaji na kuogelea unaweza kulipia 15,000 kwa kuogelea tu bila ya chakula
Ulinzi ni wa uhakika
Usafi pia ni wa uhakika
Dah sijaenda miaka hapo,hivi bado hua panajaa watoto wa shule???
 
bado unakumbuka lile tukio?
Wewe Miss Natafuta nlikumind vibaya nimefight na kuchomoka kwenye lile Kosovo la vibaka nkaupload na pics ukakubali my sexy body and bravery act then ukanipromise "kunipa ile kitu inamesa mwenzie" (in masai voice). afu from nowhere ukaingia mitini.

That's was totally unfair and injustice!

#i want shag.
 
Ni ujinga kwenda beach na kuoga ktk swimming pool. Feel the ocean. Nenda beach ambayo utaogelea maji ya bahari au ziwani. Kama unataka swimming pool si uende Viva Tower hapo mjini ipo fresh ukishuka chini unaenda kula pizza pale chini Rhapsode au unavuka upande wa pili Serena hotel kula buffet(tamka bufee) na live music gharama ndogo sana ila wabongo waoga tu wa hizi hotel. Feel the ocean, feel the sand and enjoy ocean/sea aroma, Say No to artificial things. Emancipate yourself from man made cages. A swimming pool is like an aquarium. Don't live like labaratory species even Nemo couldin't like it!!!! Nialike mleta uzi nikakufundishe butter fly style, Back stroke style, Free style, Medley style, e.t.c.
 
kumbuka sio kila anayeenda huko anataka kuogelea
 
Bamba Beach

f6555e338f733465becdf19965ad2f19.jpg

7da89cffc59b99a8baf06c7fd4acdf64.jpg
Patulivu sana hapo bamba beach nakumbuka nilipelekaga mchepuko hapo aisee mpka naondoka tulikuwa wenyewe tu ukiwa na roho ya kishetani unaweza malizamo kwenye maji/ufukweni
 
South Beach is just overrated......ukiona hotel ina viti vya coca cola kama bar zetu za uswahilini si hotel hio.
I second you chief, nilikuwepo jana hapo pako vilevile tu.. japo bora iyo South Beach, Sun rise na kidogo Malaika Beach nayo iko sehemu nzuri...hizo beach nyingine ni za wanafunzi..

Nasikia Villa nyangumi pako vizuri nataka niende nikapachungulie
 
Back
Top Bottom