Naomba kutajiwa beach za Kigamboni

Naomba kutajiwa beach za Kigamboni

Gate entries ni tofauti na kuogelea labda kwenye bahari
Mkiwa wengi mnaweza kuongea nao na ndo wanavopenda coz hawaandiki kwenye ktabu hela wanapiga juu kwa juu
beach zote mziki upo inategemea na siku
duh kuogelea sh ngap ss?
 
Mkuu naomba unitumie namba yako inbox kuna vitu sana nahitaji kuvifahamu


Na kama hutojali nitumie picha za south beach
Kingine pale Getin Huwa Kuna watu wawili au zaid wahind na Mabaunsa

Hawa mabaunsa ukiongea nao vzr ktk 10000 kwa tiket Moja wanaweza kukuuzia Elf 5000 na kuendelea

Some time wahind huwa wanazingua hawa
 
Ulienda na nani huko wakati nilikwambia nikupeleke?
Amani Beach yes hadi booking but na ukata huu usikute rules zime change
Hahaha nilikuwa nashangaa mji tu ghafka nikajikuta changani beach......

Kama anataka kwenda amani ni vema akapiga kwanza simu
 
Hahaha nilikuwa nashangaa mji tu ghafka nikajikuta changani beach......

Kama anataka kwenda amani ni vema akapiga kwanza simu

Watu wengi hawazizungumzii hizo beach
umbali pia unachangia......
Tanzania yetu kuna maeneo watu wanatoka Europe kuja kuyafurahia
ukimwambia mtu kuna wazungu wanaenda kisarawe na ndege anashangaa
 
Kunduchi beach wet n wild water park kiingilio 23,000 pamoja na chakula kinywaji na kuogelea unaweza kulipia 15,000 kwa kuogelea tu bila ya chakula
Ulinzi ni wa uhakika
Usafi pia ni wa uhakika
 
Bamba Beach

f6555e338f733465becdf19965ad2f19.jpg



7da89cffc59b99a8baf06c7fd4acdf64.jpg
 
Co beach ila itakufaaa swmng zpo za kutosha michezo ya wakubwa na watoto wabongo n wa kuhesabu tena wastarabu sana n wahind inaitwa fun city kingilio 14000
Funcity sio kwamba watoto wengi?
Halaf hio 14000 ni entrance tu au na kuogelea?
 
Back
Top Bottom