The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Mkuu kijiji beach na south beach ipi nzuri?
Halafu ipi ina gharama ndogo kuliko nyingine?
Gharama kwa sasa sijui zikoje
but South Beach ndo ilikuwaga ya gharama zaidi kuliko beach zote kigamboni
Kijiji ilikuwa nafuu kidogo
halafu South Beach mbali kidogo
Kijiji pako karibu....
kuhusu uzuri inategemeana na mtu anavyopenda..
South Beach wana eneo kubwa hasa la parking
na mandhari kwa ujumla..eneo kubwa....
still mtu anaweza penda kijiji beach...inategemeana
inabidi mtu aende zote aamue mwenyewe