Naomba kutajiwa beach za Kigamboni

Naomba kutajiwa beach za Kigamboni

am a girl

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
748
Reaction score
506
Habari za J.mosi!

Naomba nitajiwe beach nzuri za Kigamboni ambazo bei yake ni nafuu kuanzia entrance fee kama ipo na chakula na vinywaji pia.

Iwe beach ambayo inajaa watu at least ila sio watoto,maana naenda alone so nataka iwe na watu watu nipate vya kushangaa shangaa.

Na ni siku gani hua pananoga yani,maybe mziki au band...

NB: Hua natokaga mara moja moja sana,naomba mkinitajia mnitajie sehemu ambayo nta enjoy to the fullest regardless ntakua alone.

Mnaweza nitajia hata ambazo sio za Kigamboni(ila natamani sana huko)
 
Back
Top Bottom