Naomba kutajiwa beach za Kigamboni

Naomba kutajiwa beach za Kigamboni

I second you chief, nilikuwepo jana hapo pako vilevile tu.. japo bora iyo South Beach, Sun rise na kidogo Malaika Beach nayo iko sehemu nzuri...hizo beach nyingine ni za wanafunzi..

Nasikia Villa nyangumi pako vizuri nataka niende nikapachungulie
Zingine zipi ambazo ni za wanafunzi,nitajie niziepuke
 
nnavotamani sa kujua kuogelea ila ipo siku ntajicommit nitake short course hadi samaki waone wivu
Mkuu kuna jamaa alikuwa anafundisha kuogelea kila weekend jmos asubuhi na jpili pale Viva Tower anaitwa Marcelino ambe alikuwa instructor wa michezo wa IST pale. Pia kuna dada mwingine nimemsahau jina anafundisha kuogelea pale UDSM mlimani lakini yeye anafundisha wanawake tu. Ukienda wikiendi 6 tu utajua kuogelea for funny na hubby wako. Lakini kwa mashindano lazima uanzie utotoni. Kama upo maeneo ya Sinza, Mwenge, Makumbusho au Ubungo nenda kwa huyo dada bei ndogo tu.
 
Habari zenu wakuu?
Kitambo kimepita tupeane updates za beach.
 
Tupeane update wakuu. Machimbo mapya na yaliyoboreshwa.
 
Back
Top Bottom