Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
wap apondo hapa???View attachment 444638
nenda kijiji beach au barakuda..barakuda .mikadi fujo nyingi.barakuda kiingilio kinywaji chako

Elf 10 kwa kichwa.....swimming pool 20....japo walisema iliungua sijui kwel ama longoKijiji beach kiingilio?
Mikadi. ..toto za kumwaga fahari ya macho chuchu saa 6. Kiingilio buku. usalama utajijua ukijichanganya ovyo ngeta nazo zakumwaga maana kuna mseto wa kutoshaHabari za J.mosi!
Naomba nitajiwe beach nzuri za Kigamboni ambazo bei yake ni nafuu kuanzia entrance fee kama ipo na chakula na vinywaji pia.
Iwe beach ambayo inajaa watu at least ila sio watoto,maana naenda alone so nataka iwe na watu watu nipate vya kushangaa shangaa.
Na ni siku gani hua pananoga yani,maybe mziki au band...
NB: Hua natokaga mara moja moja sana,naomba mkinitajia mnitajie sehemu ambayo nta enjoy to the fullest regardless ntakua alone.
Mnaweza nitajia hata ambazo sio za Kigamboni(ila natamani sana huko)
Iwe beach ambayo inajaa watu at least ila sio watoto,maana naenda alone so nataka iwe na watu watu nipate vya kushangaa shangaa.
Hapo ni South Beachndo hapa???View attachment 444638
Mkuu naomba unijibu maswali hayaKigambon Home sweety Home
Full Ulinzi...
Anya time
South Beach
Kijiji Beach
Barakuda
Sun rise
Moja wapo kati ya Hizo waweza Sema unapenda pelekwa wap
Security ipo ya kutosha
Mlinz wa Ziada Nipo Hapa kama utaniitaji
Any Time
Home sweety Home welcome kigambon
9t ntakupitisha ktk Darajaa la Nyerere
Zen ntakupeleka Had Chumban kwako ukapumzike
Siku itakuwa imeisha
NB: Siwez Fanya Mambo ya Ziada May B Boss wangu Ukiitaji
Mkuu kijiji beach na south beach ipi nzuri?Mikadi haina tofauti sana na coco beach
beach ya watoto wa mbagala
Baracuda ni chaafu mno
vyoo vyake ni UTI guarantee.. nashindwa elewa kwa nini watu hawaisusi
kigamboni kuna beach nyingi lakini nzuri
Kijiji beach naipenda zaidi....
ingine South Beach
halafu Sunrise
Kuna beach za ukweli pia ambazo waswahili wengi hawazizungumzi
Changani beach
Amani beach.....
Mkuu naomba ujibu maswali yangu niliyoulizaMnaokuja huku nichekini mm nakataa mjimwema ndo njia panda ya beach zote za kigamboni nitawapa company