zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,604
miss natafuta nikaribishe basi nikakubebe kwenye maji upate rahaumenitamanisha leo lazima nikaogelee hakuna jinsi
miss natafuta nikaribishe basi nikakubebe kwenye maji upate rahaumenitamanisha leo lazima nikaogelee hakuna jinsi
mimi naenda kawe bure kiingilio ice cream zanguHaha mambo ya weekend
twende mkuumiss natafuta nikaribishe basi nikakubebe kwenye maji upate raha
Asante
unaendaga beach za wapitwende mkuu
unaendaga beach za wapi
njoo jangwani mbezibeach
nipitie maeneo ya sinza.utaogelea kama samaki Leo .hakuna kutoka kwenye majimimi naenda kawe bure kiingilio ice cream zangu
Asante kwa angalizo,halafu huko si ndo wanabakaAngalizo; Mikadi usiende kabisa asa siku za jumapili kuna kundi la vijana vibaka huwa wanatoka mbagala wakiwa wamekodi coaster nzima lengo lao likiwa ni kupora tu kila wanaemuona ana chochote ambacho ni Mali kwao. Na kama kawaida ya watu wa Dar ukiporwa usitegemee msaada toka kwao.
Hivyo mikadi na beach kimba sio pakupendelea kwenda saana, pako local and unorganized.

na wakubwa wapoMmm hapo si wanajaaga watoto wa shule![]()
bado unakumbuka lile tukio?Angalizo; Mikadi usiende kabisa asa siku za jumapili kuna kundi la vijana vibaka huwa wanatoka mbagala wakiwa wamekodi coaster nzima lengo lao likiwa ni kupora tu kila wanaemuona ana chochote ambacho ni Mali kwao. Na kama kawaida ya watu wa Dar ukiporwa usitegemee msaada toka kwao.
Hivyo mikadi na beach kimba sio pakupendelea kwenda saana, pako local and unorganized.
Hivi na huo mwili wako huwa unathubutu kuogelea mkuu???!!umenitamanisha leo lazima nikaogelee hakuna jinsi

kwani bahari inachagua ukubwa? mbona kuna nyangumi mle?Hivi na huo mwili wako huwa unathubutu kuogelea mkuu???!!![]()