Naomba kukaribishwa rasmi

Mmh?
Nini unipe?
Umejiona hapo? 😹
Chiwawa wewe mwandiko wako tu unakusuta..!!
 
Mleta mada ndio yule KIJANA,
Uandishi ni ule ule kabisa,


 
Kumbe?
 
Nahisi ana bahati mbaya na huu mtandao 😂😂
make kuna makundi matatu yanayopelekewa moto bahati mbaya kundi lake yupo pekeyake😂
Mkuu unajua hapa JF ukijifanya mjuaji sana,haya ndio hua matokeo yake,
Kijana hua anaamini kua yeye ni bora kuliko mtu yeyote yule hapa JF
Na anachokipata sasa ndio itakua tiba ya huo ugonjwa wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…