Naomba kujua sifa na tabia za wanawake Wakurya

Acheni maswali ya kuchafua wasichana wetu. Kwa karne ya leo hakuna hayo mambo. Labda kama unaenda kuoa kule kijijini kabisa.

Lakini msichana mwenyewe kazaliwa gezaulole, kitunda r, hana anakua mkubwa hajawahi toka dar.

Eti kwa sababu wazazi ni wakurya basi na yeye ni mkurya.
Habari za wakat huu wakuu, niende kwenye mada nahitaji kujua sifa na tabia za wanawake wa kabila la wakurya

Natanguliza shukrani [emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Wapi nimewachafua mkuu?? Me nimeuliza sifa na tabia zao tu au umeona tofaut????
Acheni maswali ya kuchafua wasichana wetu. Kwa karne ya leo hakuna hayo mambo. Labda kama unaenda kuoa kule kijijini kabisa.

Lakini msichana mwenyewe kazaliwa gezaulole, kitunda r, hana anakua mkubwa hajawahi toka dar.

Eti kwa sababu wazazi ni wakurya basi na yeye ni mkurya.
Yaani mimi ni pure lkn huwezi amini kilichonisaidia nmezaliwa dar , Mazingira yanachangia sana mtu aweje, na tabia kiujumla,
Hii ni kweli kabisa nakuunga mkono me nadhan makuz na malez huchangia kw kias Kikubwa mtu kuacha au kuendeleza mambo ya asil yake
 
Kama unaoa kwakua ni mkurya, inaweza kula kwako. Muone kama anasifa. Wapo wakurya watafutaji sana wa maisha, wapo viburi sana, Malaya, wakorofi nk. Wakurya wamegawanyika katika matabaka tofauti.
 
Kwa kawaida kila kabila lina mazur na mabaya yake sidhan kama kuna kabila ambalo kwao hakuna madhaifu
Kama unaoa kwakua ni mkurya, inaweza kula kwako. Muone kama anasifa. Wapo wakurya watafutaji sana wa maisha, wapo viburi sana, Malaya, wakorofi nk. Wakurya wamegawanyika katika matabaka tofauti.
 
Dada zangu b'n watamu sana na huwa wana nyege sana. Sipatii picha wangekua hawakeketwi ingekua taabu tupu. Ila b'n wababe sana ukiwa legelege anakupanda kichwani, yeye anakua kama ndio baba wa familia, Dada zangu b'n kwenye utafutaji wako vizuri wana uwezo wa kukulisha, kukuvyesha na familia nzima ikapata mahitaji muhimu bila shida yeyote
 
Nliyoyaona kwa wakurya!
1: Sana figure moja hatari sana kwa wale wapenda makalio makubwa!

2.Baadhi yao ukiwakuta wapole ni wapole kweli na wanaheshima sana kwenye ndoa!

3.Ukioa ukalipa mahari haruhusiwi kurudi kwao hata mkiwa na ugomvi!
Yaani ile unakuta ata babamkwe anashinikiza muendelee kuishi wote!

4.Wengi wamekeketwa
5. Wanadeka sana kama atakuona mwanaume upo upo tu
6.Wanafanya kazi sana
 
Nmekuelewa vyema mkuu[emoji1756]
Dada zangu b'n watamu sana na huwa wana nyege sana. Sipatii picha wangekua hawakeketwi ingekua taabu tupu. Ila b'n wababe sana ukiwa legelege anakupanda kichwani, yeye anakua kama ndio baba wa familia, Dada zangu b'n kwenye utafutaji wako vizuri wana uwezo wa kukulisha, kukuvyesha na familia nzima ikapata mahitaji muhimu bila shida yeyote
 
Hili ndio gumzo sana kwao
Asilimia..... Wamekeketwa

Cc Smart911
Nliyoyapenda kwa wakurya!
1: Sana figure moja hatari sana kwa wale wapenda makalio makubwa!

2.Baadhi yao ukiwakuta wapole ni wapole kweli na wanaheshima sana kwenye ndoa!

3.Ukioa ukalipa mahari haruhusiwi kurudi kwao hata mkiwa na ugomvi!
Yaani ile unakuta ata babamkwe anashinikiza muendelee kuishi wote!

4.Wengi wamekeketwa
5. Wanadeka sana kama atakuona mwanaume upo upo tu
6. N watam sana kama ajakeketwa
 
Sawa boss
Ndio hivyo boss, wewe huyo dada angu kama umeridhika nae weka ndani tu usiwaze sana...! Angalia kama unaweza kuhandle madhaifu yake maana hakuna perfect human being
 
Back
Top Bottom