Naomba kujua sifa na tabia za wanawake Wakurya

Pia mimi sikuongelea tu kwenye uhusiano wa maswala ya mahusiano ya ndoa lakini nilienda zaidi kwenye mahusiano mengine ya kijamii mfano kazini n.k

Sasa huko ndiyo nilisema kama unafanya kazi ya pamoja inabidi kuwa naona makini maana anaweza akakufanyia jambo gumu na wala asijali.

Mimi nimeifanya kazi nao baadhi na hata wenyewe wamekuwa wakikiri kuwa mwanamke wa kutoka mkoa wa Mara usimchukulie powa.

Mwalioko humu watakubaliana na mimi kabisa!
Hilo ni kweli. Sisi wakurya kuna msamiati ni ngumy sana kutumika NAOMBA, SAMAHANI. Mpaka ifike mahali hayo maneno yatamkwe ujue kabisa angekuwa muhehe angeshajinyonga ili kukwepa fedheha. Sema kuna muda tunazingua halafu hata hatuna time ya kufikia madhara. Na kingine, mwanamke wa kikurya akikukataa (hasa kama mlikuwa na mahusiano na anakupiga kubuti) sahau kama utampata tena.
 
Kwanini mkuu fafanua ulichokiandika mwishoni
 
Habari za wakat huu wakuu, niende kwenye mada nahitaji kujua sifa na tabia za wanawake wa kabila la Wakurya

Natanguliza shukrani [emoji1756][emoji1756][emoji1756]
Hawana ashiki sana, ukioa umeoa hawatoki ndani hata kama umemuolea wake wengine,ukimuacha nyumbani ukaenda kuishi na mwanamke mwingine huko siku akipajua anakufata na kuja kukubeba wewe pamoja na watoto uliozaa huko na mwanamke mwingine. Ni ngumj sana askari kumrudisha nyuma labda mpaka kesi mahakamani lakini utamponza tu huyo mwanamke mwingine maana watoto wake atawachukua wakawe nguvu kazi kwake kwa sababu anachukulia watoto ni wa baba na hivyo atawachukua wote. Wavumilivu na si wahuni maana hawana ashiki ya tendo la ndoa
 
Kutulia ni asili yao wote tukiachana na kasumba ya ukeketwaji ?
 
Mimi ni mkaazi wa Mwanza na makabila ya Mara nayajua sana maana wengine wengi nimewahi kuwaajiri na nimeshirikiana nao kikazi kwenye utafutaji,hakuna nisicho jua kuhusu wao

Ujajibu nilichouliza mkuu
 
Wongo sio kweli..
Mbali na mahusiano ya kimapenzi lakini hata kwenye mahusiano ya kawaida mfano maeneo ya kazi wengine yani hata kumdhulumu mwenzie kitu fulani wala hajali wala nini!
Yani ukifanya nao kazi uwe makini sana la sivyo weee
 
Hawana ashiki sana, ukioa umeoa hawatoki ndani hata kama umemuolea wake wengine,ukimuacha nyumbani ukaenda kuishi na mwanamke mwingine huko siku akipajua anakufata na kuja kukubeba wewe pamoja na watoto uliozaa huko na mwanamke mwingine. Ni ngumj sana askari kumrudisha nyuma labda mpaka kesi mahakamani lakini utamponza tu huyo mwanamke mwingine maana watoto wake atawachukua wakawe nguvu kazi kwake kwa sababu anachukulia watoto ni wa baba na hivyo atawachukua wote. Wavumilivu na si wahuni maana hawana ashiki ya tendo la ndoa
Interesting [emoji848]
 
Inawezekana kweli nachanganya na wajaluo na wajita.

Halafu wewe ukweli unaujua , si useme tu kuwa wale ni wajaluo na wajita?

Lakini hata wakurya wapo nakwambia ukweli wewe chunguza utakutana nao.

Unajua huku mjini wanao toka mkoa wa Mara wote tunawaita wakurya lakini si sawa.

Kama ambavyo wengi wanavyochukulia kuwa watu wa Tanga ni wasambaa tu.
correct
 
Back
Top Bottom