Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,942
kwa nini?Hua sipendi kuhukumu watu kwa makabila ila kama wewe sio Mkurya aisee sikushauri kabisa kabisa kabisa kabisa uoe lile kabila.
Nadhani kuna makabila mengine yapo kwa ajili ya kuoana wenyewe kwa wenyewe likiwemo hilo.