Naomba kujua sifa na tabia za wanawake Wakurya

Naomba kujua sifa na tabia za wanawake Wakurya

Cha kwanza muelekeo wa maisha yako ulikuwa vipi? Hiki kinatazamwa sana na mwanamke wa kikurya.
Kama hauna future, ni ngumu kuwa nae. Urhibitisho ni huu, mimi nilitaka kuoa mdogo wa shem wangu, ni mzuri sana nilimenda sana kulingana na malengo yangu.

Shem akaniunga na mdogo wake. Lakini kadri muda ulivyosonga nikagundua mengi na historia yakr yote!

Maana niliuliza mpaka kwa watu wengine, nikaproof nikaona nimebug, kama kisa matako acha aende tu.
kwanini mkuu,huwa ukisugua hawafiki au vipi?,nilikuwa na dame wa kikulya,nataka nijue nilibugi wapi
 
Mkuu ya kaisari mpe kaisari na mungu mpeni mungu ukipata mda wa kula bata kula na mda wa kupiga kazi piga sana kazi
Ukiwa hauna kazi ya kufanya maishani sawa, msugue tu.

Lakini kama una ndoto nyingi maishani hawa hawakufai, utakonda kwa kukesha na mbunnye
 
Acha kuwafananisha wajaluo na vitu vya kijinga

Aaaah Jaluo [emoji14][emoji14][emoji14]

Ingima mabele!

Machegni!

Ipo siku utaletwa uzi wa kuhusu Wajaluo hapa tutawachambua kama karanga [emoji108][emoji108][emoji108]

Halafu nyie mnapendaga kujiona tamu sana [emoji14][emoji14][emoji14]
 
Nimesha kutana na wanawake ambao antenna zao zimefyekwa lakini cha kushangaza papuchi zinakuwa mnatoooo!!!! Eti ni kwa nini?
 
Hujanielewa,

Hawa wanawake wa huku, hawana tabia ya kuua ua sana ni nadra sana. Ndiyo maana ni nadra kusikia mwanamke kaua mwanaume huku.

Ila wanaume wanaua wanawake kisa mali. Gender based violence mara imetawala mkuu. Wanawake wananyanyasika sana. Mkurya akioa jua ameoa mfanyakazi sio mke.

Kesi za unyanyasaji wanawake ni nyingi sana.

Mwezi april kuna mwanajeshi mstaafu kaua mwanamke aliyeachanae kisa mali. Mali alizonazo jamaa amechuma pamoja na mwanamke. Mahakama ilibakia kutoa hukumi ya lugawa mali tu. Mzee akatuma watu wakampiga mapanga mwanamke na mume wake mpya mpaka kufa.
Too bad asee bas wanaume wa makabila mengine tuoe wakurya tuwanusuru na izo kasumba [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Sifa nzuri zaidi ya mwanamke wa kikurya, ni wapiga kazi, wanapenda kuhangaika.

Sio chuma ulete.

Bro. Wangu ameoa mkuria, aisee story niliyoipata ni kuwa shem wangu alifilisika kisa bro tu. Lakini mpaka now ana biashara ya nyingine jirani na amapoishi.

Mwenyewe aliniambia mimi kwangu milioni mbili au tatubilikuwa si kitu, but my husband alikuwa hataki kunipa support yoyote,
Too bad asee bas wanaume wa makabila mengine tuoe wakurya tuwanusuru na izo kasumba [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Note: Ila inategemea mazingira, ukimkuta 50/50 huyu anakufaa lakini wale pure mmmh! Sijui inakuwaje hapo.

Shem wangu sio pure, ukimuangalia hata mama yake mzazi ni mpiga kazi(sio mkuria)
Too bad asee bas wanaume wa makabila mengine tuoe wakurya tuwanusuru na izo kasumba [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kwanza unatakiwa umpige kabla ya kumnjunja...
Wanasomaga magazeti wakati wa kunjunjana...
Wawanyang'anya majambazi silaha....
Wanakulaga ugali na kichuri asubuhi....
Nasikia' eti wana ng'olewa filimbi....
Hata komando hakuna atakayekubali kupigwa alafu umsugue papuchi yake!
 
Kwanza unatakiwa umpige kabla ya kumnjunja...
Wanasomaga magazeti wakati wa kunjunjana...
Wawanyang'anya majambazi silaha....
Wanakulaga ugali na kichuri asubuhi....
Nasikia' eti wana ng'olewa filimbi....
Makabila mengi yenye wanawake wazuri, ukeketaji upo!
 
Note: Ila inategemea mazingira, ukimkuta 50/50 huyu anakufaa lakini wale pure mmmh! Sijui inakuwaje hapo.

Shem wangu sio pure, ukimuangalia hata mama yake mzazi ni mpiga kazi(sio mkuria)
Yaani mimi ni pure lkn huwezi amini kilichonisaidia nmezaliwa dar , Mazingira yanachangia sana mtu aweje, na tabia kiujumla,
 
Back
Top Bottom