Naomba kujua sifa na tabia za wanawake Wakurya

Uwe makin upo ugenini kupata ushind sio rahis labda ununue mechi
Home Ground Ni Vizuri Team Ishinde Tena Kwa Goal Nyingi Ukienda Ugenini Una Park Bus
Huyo Yupo Dar es salaam Ana Mengi Sana

Ndugu Zangu
Kulala Katikati Kuna Faida Zake Unapata Ya Dar es salaam Na Dodoma Katikati Ni Pazuri Sana
Acha Niwe Karibu Sana Na Hii Thread
Najiona Nipo Kitunda, Kibeberu, Mwanagati, Kivule, Msongola, Kinyantila, Shilati. Hapa Dar es salaam
 
Tabia yao kuu ni ubabe na ukorofi...

Cc: mahondaw
Sio kweli, ni watiifu sana.

Walezi wafamilia wasimamizi wa mali ya mume.
Mwanamke wa kikuria anachunga ng'ombe, atakamua maziwa atakwenda shamba. Ila kwenye miti hakuna wajenzi.

Wanajituma sana, ukimkuta mwanamke wa kikuria wa ovyo jua kaharibiw na mazingira.
Ushahidi wa wazi;

Kuna mama aliolewa dar na mkuria mwenzake, mwanajeshi, mama yule alinunua ng'ombe mmoja tu, lakini alimtunza mpaka kuwa na kundi la ng'ombe.

Waliogombana na mwanaume, akaacha kila kitu. Kwa sasa amejenga nyumba bora sana kuliko ya mumewe.

Watoto wake nimesoma nao shule moja! Amenisimulia kwa mdomo. Wake kuhusu maisha yake. Na mimeona kwa macho yangu.

Kama ukimpaya mrembo wa kikurya nenda vyema unaweza vuna dhahabu uzeeni.
 
Kuna jamaa kaoa mwanamke wa kikurya... jamaa anapigwa meno na ngeta kila siku...

Week haishii lazima wazichape... jamaa yupo peace ila demu mkorofi sana, si kwa majirani zake mpaka familia ya mume...

Cc: mahondaw
 
Je, wanawake wanaopiga wanaume wote wakurya?

Mtu habadili maisha, ila maisha yanabadilisha mtu. Shilole ni mkurya?

Nuuh mziwanda alikuwa anapigwa pale.
Kuna jamaa kaoa mwanamke wa kikurya... jamaa anapigwa meno na ngeta kila siku...

Week haishii lazima wazichape... jamaa yupo peace ila demu mkorofi sana, si kwa majirani zake mpaka familia ya mume...

Cc: mahondaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom