Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Hatari kidogo!!Jf imekua the unsafest dating zone!hasa Kule love connect!yani acha tuu!!Kuna kijeba kila after one month iv anabandika bandiko la kusaka mchumba!sasa jiulize anatafuna wangapi japo kihisia tu!

hahahhahahaaaa halafu huko mie sipitagi nakosaje uhondo..!!
yaani kwa kweli naona hadi huruma mi binafsi ndo maana mi mtu pm ht akitaka nikiona muelekeo sio napotezea staki kujidhalilisha kihivi yaani
bora tu ukatae tu kihekma
 
hahahhahahaaaa halafu huko mie sipitagi nakosaje uhondo..!!
yaani kwa kweli naona hadi huruma mi binafsi ndo maana mi mtu pm ht akitaka nikiona muelekeo sio napotezea staki kujidhalilisha kihivi yaani
bora tu ukatae tu kihekma

Utakuja pishana na bahati yako
 
Mkuu namjua huyu mtu kama ni wa humu JF na kama atasoma hii message atanikumbuka.I faced the same experience na yeye na naona namna ni hii hii.Mimi aliponiambia nina mtoto na mimi I told her the same kuwa ninaye na hakufurahishwa na hilo hasa baada ya kumwambia mama yake anaishi Dar pia.The rest was the story ni kimeo huyu.Kwanza she is desparate na bado anajifanya ku-raise sana standard na kuhukumu wenzake ambao wako na hali kama yake ya u-single parent.Pole sana.

JF kweli kiboko
 
Superbrand pole,,,, huyo atakuwa ni kilema japo hakionekani maana tumezoea vilema vinavyoonekana,,,,,,,huyo ana ulemavu wa akili,,,,, msamehe bure acha maisha yaendeleee,,,,kwa jinsi ulivyojieleza na ambavyo hajakanusha,,, it seems that you are an innocent man,,,,,
 
Hapo kwenye red, umemaliza kila kitu dada'ake, thumb up!! hiyo ndo habari ya mujini kwa watu makini. Ila wale wanaokuja mujini kwa lift ya msafara wa mbio za mwenge, hawalijuwi hilo na huishia kuvurunda tu.

Hahahaa,unamaneno weye duh
 
Hivi, vile vifua vikubwa tulivyopewa na mwenyezi Mungu na zile koromeo za kutunza na kuweka hasira zetu havipo tena. Kidume unaleta mambo ya chumbani kila mtu ajue??? Kama mmetendana huko si mmalizane huko? Nilidhani huwa wadada ndio wanashindwa kujizuia kuleta mambo ya chumbani, kumbe hata sie vidume??? mmmh!

Afu tabia ya kuwananga waalimu sio nzuri. Nyie mnaoona professions zenu zipo juu kuzidi waalimu acheni hizo bhana..!

Nakupenda mshenga miaka miaaa, hatarii hiii
 
Hahahaa best ya le mutuz katika ubora wake,use unanitag kwenye ubuyu ona sasa nakuta makombo huku

Unapoteaga sana...ila yalishaisha. Mimi nimewaelewa wote...

Bahati Mbaya Nina tabia kama ya huyu Dada, najiamini hadi najiogopa....Siku kiama changu kikifika ntakutag mapemaaa...

Stay tuned.....#team kujiamini
 
Mtaje mkuu tumshushie orodha ya makosa yake,,,,
 
Back
Top Bottom