Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Tatizo umeshamuonyesha udhaifu wako,ila sisi wadada wakati mwengine tuna matatizo sasa hapo akikosa mume atasema ana gundu,wengine tunanyenyekea lakini wapii, Mtoa mada mimi sijaona kosa lako hapo hebu jaribu kupotezea uone kama hatokutafuta.
Kweli kabisa mtoa mada jaribu kukaa kimya wala usimtafute umuhimu wako atakuja kuuona baadae sana.
 
Najiuliza

1. lengo la kusema ana mtoto ndo kumpima mwanaume?
2. Mbona aliniomba nimtafutie dada wa kazi kwa ajili ya mwanae au alikuwa ana nipima back
3.Mbona nilipopiga simu usiku alisema amelala na mtoto au ndo alikuwa ana nipima?

Najiuliza maswali mengi zaidi ya hayo ?na baadae aliomba nimushushe njiani ila nilimtoa ubungo hadi Mbagala maji matitu kwa umbali huo na alikuwa naelekea chamazi akadai ana boreka na uongo wangu na pretending na ndo maana hawapendi wanaume akaomba kushuka na ikabidi nimshushe japo nilimwambia Leo Luna panya road umewaona nakuonea huruma just nikufikishe karibu na kwako alikataa na nikabidi nishushe na sijui amefika au LA

Nawasilisha naweza mtaja akiridhia na sheria za Jf kama zina ruhusu kwani nimeumia na kuwaza sana which kind of woman is this

Naomba radhi kwa kuwachosha japo lengo langu muelewe kwa kiasi pa kuanzia kunishauri

Regards,
Superbrand

:crazy::crazy::A S wink:
 
Babu knows alot.. no need ya wadau!

Hahahahahahahah.....Naona unataka kumchokonoa Babu.....

In short, Babu ni taasis kama ailivyo taasisi ya urais.....kwa hiyo, haweza ku-exist kama mtu mmoja tu!
 
Nilikuwa na lengo jema kusema Mwana Jf kwanza nikiweka kumbukumbu sawa kwa kuwa huko sijui kama kafika salama? Kwa purukushani za jana kwani inatokeaga mtu akipata matatizo makubwa wana Usalama wa raia huwa wanahusisha pia mawasiliano ya simu yake ya mwisho na ya mara kwa mara

Pili wengine wanaweza kupata somo kwa kuamini positive moja kwa moja kuwa Mtazamo wa mtu humu Jf may be ndo mtazamo wa maisha kama mimi.

Kusema kunipima kwake ameongea kwa kupanic na hasira sana kiasi kuwa si rahisi kuamini ni uhalisia aliokisudia?

Nahisi kama una mpima mtu kwa hayo aliodai hakuna sababu ya kupanic,kupata hasira na kuzira pia ikiwa ndo moja ya matokeo ktk upamaji wake.

Kwani mwl huwezi ukawa unatengeneza na ku mark mitihani kwa Jazba kwa wanafunzi kifel wakati ndo matokeo wa walichokielewa.
Asante.

Mkuu namjua huyu mtu kama ni wa humu JF na kama atasoma hii message atanikumbuka.I faced the same experience na yeye na naona namna ni hii hii.Mimi aliponiambia nina mtoto na mimi I told her the same kuwa ninaye na hakufurahishwa na hilo hasa baada ya kumwambia mama yake anaishi Dar pia.The rest was the story ni kimeo huyu.Kwanza she is desparate na bado anajifanya ku-raise sana standard na kuhukumu wenzake ambao wako na hali kama yake ya u-single parent.Pole sana.
 
Ha ha ha.. Kwi kwi Kwi, koh koh koh, mtaandikwa ninyi ndugu! Let me keep my mouth shut 😏
 
Mkuu namjua huyu mtu kama ni wa humu JF na kama atasoma hii message atanikumbuka.I faced the same experience na yeye na naona namna ni hii hii.Mimi aliponiambia nina mtoto na mimi I told her the same kuwa ninaye na hakufurahishwa na hilo hasa baada ya kumwambia mama yake anaishi Dar pia.The rest was the story ni kimeo huyu.Kwanza she is desparate na bado anajifanya ku-raise sana standard na kuhukumu wenzake ambao wako na hali kama yake ya u-single parent.Pole sana.

Aisee kumbe habari ndio hii ...
 
basi sawa kumbe mmepita wengi huko
 
daah yaani jamani hatari hii!!
 
Back
Top Bottom