Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Naomba kujua kosa langu Wana jamvi

Nimekuja kukuambia Superbrand usijali nakupa pole kesho karibu ofisini kwangu natoa cancelling na ushauri kwa gharama kidogo ila wewe nitakufanyia bure nimeongea nae aliyekutenda kaniomba nikufuate na nikuombe Radhi hakujua uta umia kiasi hicho very sad
Kwa sasa pumzika il a kunywa maji mengi
Nitafute 0787047339

Asante siongei wala kundika chochote tena

Nimekuelewa nitakutafuta kabisa
 
Last edited by a moderator:
Nawashukuru sana wote mlioshare hii post hatimaye nimempata mshauri zaidi na yote mlionishauri nimechukua na nitayafanyia kazi

Samahani kwa waliokwazika kwa kile kilichoendelea kwa muda wote wa uzi huu,na pia uliyenitendea nimekusamehe na mungu akubariki naamini umejifunza pia
 
Tatizo hautaki kupokea ushauri ulio nje ya mawazo yako.Unataka nianze kukwambia "oooh jamani pole huyo mdada hafai na bora umpotezee" ila siwezi fanya hivyo maana sijajua yeye yalimsibu yapi

Na hapa ni ngumu kujua nani mwenye makosa maana toka uanzishe thread wewe umekua msemaji mkuu sasa hapo si ajabu unajipendelea upande wako

Very sory nimeupokea asante kwa mchango wako pia
 
Nimekuja kukuambia Superbrand usijali nakupa pole kesho karibu ofisini kwangu natoa cancelling na ushauri kwa gharama kidogo ila wewe nitakufanyia bure nimeongea nae aliyekutenda kaniomba nikufuate na nikuombe Radhi hakujua uta umia kiasi hicho very sad
Kwa sasa pumzika il a kunywa maji mengi
Nitafute 0787047339

ww ni ke au me? namm nahitaji ushauri.
 
Last edited by a moderator:
Superbrand mimi nakuomba sana sana kama dada yako yatosha sasa,unakoelekea siko kabisaaa,umeshalitoa lako la moyoni yatosha sasa usijibu tena,wewe hujamtaja mtu ila watu ndo wanaendelea kupamba.

Jua tu hakuwa wako huyo na shukuru Mungu anakupenda amekuonyesha mapema kabla hujadondoka mzima mzima,sisi wote ni wakosaji hakuna aliyekamilika hata mmoja,hilo ni funzo kwako na kwetu pia huwezi kujicommit asilimia zote kwa mtu unayemfahamu kwenye keyboard,zipo kanuni za upendo na katika huo upendo zipo hatua za kupenda,na katika hilo my kaka ulibugi,so haina haja ya kulalamika sana huwa tunajifunza kupitia makosa.

Narudia tena weka hasira pembeni maisha yaendelee,hii hasira uliyonayo iwe chachu bora ya kuwa makini zaidi ya kumchagua umpendaye,hasira hii take it positively utakuja shangaa how good you are,unavyoendeleza hasira na chuki hapa hautendei haki moyo wako,please achana na hii kitu usijibu tena quotes za watu namna hiyo.
 
Last edited by a moderator:
MSUTO UNAKUJA, NA KEKI JUU NA SHAMPENI NA AMEKODIWA MZEE YUSUFU KABISAAA, UZI UTAANZISHWA NA MTUHUMIWA. Haiwezekani mwanamke mwenzetu adhalilishe hivi. Hicho kichambo FUNGUA MWAKA. cc amu
 
Last edited by a moderator:
Superbrand mimi nakuomba sana sana kama dada yako yatosha sasa,unakoelekea siko kabisaaa,umeshalitoa lako la moyoni yatosha sasa usijibu tena,wewe hujamtaja mtu ila watu ndo wanaendelea kupamba.

Jua tu hakuwa wako huyo na shukuru Mungu anakupenda amekuonyesha mapema kabla hujadondoka mzima mzima,sisi wote ni wakosaji hakuna aliyekamilika hata mmoja,hilo ni funzo kwako na kwetu pia huwezi kujicommit asilimia zote kwa mtu unayemfahamu kwenye keyboard,zipo kanuni za upendo na katika huo upendo zipo hatua za kupenda,na katika hilo my kaka ulibugi,so haina haja ya kulalamika sana huwa tunajifunza kupitia makosa.

Narudia tena weka hasira pembeni maisha yaendelee,hii hasira uliyonayo iwe chachu bora ya kuwa makini zaidi ya kumchagua umpendaye,hasira hii take it positively utakuja shangaa how good you are,unavyoendeleza hasira na chuki hapa hautendei haki moyo wako,please achana na hii kitu usijibu tena quotes za watu namna hiyo.

THANK GOD! This is more like you! Kule kwa wapiga manyanga ya mganga kushadadia ubuyu mwanamke mwenzio anaanikwa WAS NOT LIKE YOU KABISAAA. Kuna wenyewe team USHUZI.
 
Too much generalisation hadi yule mlokole wako.. pouwa .. wanaume wote jf ni.kwa ajili ya starehe hakuna.husband na wengi chips mayai uhuuuuuuu raha ya chumvi kuonja si kubugia

miss chagga usinitafute maneno, mimi nilikuwa najadiliana na wewe sijamanisha unachokimanisha, naomba tuishie hapo. thanks
 
Superbrand mimi nakuomba sana sana kama dada yako yatosha sasa,unakoelekea siko kabisaaa,umeshalitoa lako la moyoni yatosha sasa usijibu tena,wewe hujamtaja mtu ila watu ndo wanaendelea kupamba.

Jua tu hakuwa wako huyo na shukuru Mungu anakupenda amekuonyesha mapema kabla hujadondoka mzima mzima,sisi wote ni wakosaji hakuna aliyekamilika hata mmoja,hilo ni funzo kwako na kwetu pia huwezi kujicommit asilimia zote kwa mtu unayemfahamu kwenye keyboard,zipo kanuni za upendo na katika huo upendo zipo hatua za kupenda,na katika hilo my kaka ulibugi,so haina haja ya kulalamika sana huwa tunajifunza kupitia makosa.

Narudia tena weka hasira pembeni maisha yaendelee,hii hasira uliyonayo iwe chachu bora ya kuwa makini zaidi ya kumchagua umpendaye,hasira hii take it positively utakuja shangaa how good you are,unavyoendeleza hasira na chuki hapa hautendei haki moyo wako,please achana na hii kitu usijibu tena quotes za watu namna hiyo.

ubarikiwe sana.
 
Last edited by a moderator:
miss chagga usinitafute maneno, mimi nilikuwa najadiliana na wewe sijamanisha unachokimanisha, naomba tuishie hapo. thanks

Wewe acha hayo ya.kuisha hayawezi we unashida kama.mleta mada its matter of tme
 
Nawashukuru sana wote mlioshare hii post hatimaye nimempata mshauri zaidi na yote mlionishauri nimechukua na nitayafanyia kazi

Samahani kwa waliokwazika kwa kile kilichoendelea kwa muda wote wa uzi huu,na pia uliyenitendea nimekusamehe na mungu akubariki naamini umejifunza pia

cc masai dada
 
Last edited by a moderator:
Superbrand mimi nakuomba sana sana kama dada yako yatosha sasa,unakoelekea siko kabisaaa,umeshalitoa lako la moyoni yatosha sasa usijibu tena,wewe hujamtaja mtu ila watu ndo wanaendelea kupamba.

Jua tu hakuwa wako huyo na shukuru Mungu anakupenda amekuonyesha mapema kabla hujadondoka mzima mzima,sisi wote ni wakosaji hakuna aliyekamilika hata mmoja,hilo ni funzo kwako na kwetu pia huwezi kujicommit asilimia zote kwa mtu unayemfahamu kwenye keyboard,zipo kanuni za upendo na katika huo upendo zipo hatua za kupenda,na katika hilo my kaka ulibugi,so haina haja ya kulalamika sana huwa tunajifunza kupitia makosa.

Narudia tena weka hasira pembeni maisha yaendelee,hii hasira uliyonayo iwe chachu bora ya kuwa makini zaidi ya kumchagua umpendaye,hasira hii take it positively utakuja shangaa how good you are,unavyoendeleza hasira na chuki hapa hautendei haki moyo wako,please achana na hii kitu usijibu tena quotes za watu namna hiyo.

Mwache aongee upuuzi wake na.aonyeshe ujinga wake
 
Last edited by a moderator:
Nimepapenda hapo kwenye rangi Mkuu.

Mkuu umeangukiwa na jumba bovu...

Kama miguu yako inaweza kuchanganya vizuri basi kaza mwendo ukimbie haraka mno...

Humu ndani kuna kila aina ya watu wengine wapo kibiashara, wengine ni vizabizabina wanatafuta tu habari, wengine ni mboga ya jana...nk
 
jamani miss, kumbe na wewe una roho ya hivyo!

Ndiyo kwani vipi? Nwanume unamwona kwa kuongea kuongea kwake kama za urithi unajua kama ni fighter unajua take it be care fully and others mwaaaa happy new year
 
naogopa mimi, kumbe nimegundua nitegeneze id ya mchepuko ili niwe napata vitu vitamu kama pale kwenye red.
 
Back
Top Bottom