Zinduna
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,377
- 3,394
Kila nikakayemwita aitikie ‘LABEKA' kwa wanawake na wanaume waitikie ‘NAAM'
- cacico umeadimika sana siku hizi, naomba maelezo kuhusu kikundi chetu cha mkodobwe kimeishia wapi, maana naona kuna watu humu washakunaku lakini bado tu kusutwa hadi leo.
- snowhite, wewe nawe michango yako humu imekuwa hafifu sana, Je umehongwa nini au umetishiwa kutekwa nyara na kung'olewa kucha?
- gfsonwin, shosti mbona nawe siku hizi speed imepungua, isisje ikawa umekuwa mama kijacho maana kipupwe hiki tutashuhudia uzao ukiongezeka, hivi atakuwa ni mtoto wa ngapi vile?
- @FP, dada yangu wa parpar pa Mfaranyaki bombi ii nyumbi ii, uko pande gani, mbona husomeki?
- charminglady, wewe hujatulia siku hizi, naona ushaanza kuzeeka sasa,haiwezekani watu wanasema maneno mbofu mbofu nawe unawachekea humu, hebu endelea kuwapa ile dozi zako za vijineno vya mipasho…..
- Asnam, u wapi bi dada, nimekumiso ile mbaya
- Kipipi, binti maringo, unaringa ka nini, maana mapozi mpaka JF, full kujiringia
- Smile, ndege mnana upo? Nakuona tu unavyowazodoa wanaume humu, naomba uongoze ngoma ya msuto ya mkodobwe maan cacico kashindwa kazi.
- Preta, Mambo sister, vipi utakuja lili ZNZ
- marejesho, We siku hizi umeadimika sana kama Nyamayao
- ladyfurahia nimepata habari kupitia kwa Bishanga eti uligonganisha mabwana humu jF hivi karibuni…. Eti ni kweli au anakusingizia tumsute?
- Asprin, halafu wewe mzee wewe, naona kazi ya ukaguzi inakushinda siku hizi, kuna wageni kbao humu lakini mpaka leo hawajakaguliwa
- Babu DC Dark City uko wapi we mzee, retired Soldier wa KAR…
- Arushaone, habari yako msee wa R Chuga, Poleni kwa kufiwa na mabilionea
- watu8, upo bro, nimepata habari zako kupitia PM kuwa siku hizi hukamatiki
- Bishanga, msuto unakusubiri, ngoja niitishe jaramba
- Boflo, siku hizi umepouwa sana siona zile picha zako za kufikirisha..