Nawasubiri kwa hamu maana nasikia wengi waliingia mitini
Una nyonga weye?
We mwana we! Taratiibu usijedanganywa na hizi mnvi ukadhani nimezeeka vyote... We haya we.. Utakuja kusimulia hapa..
Zion Daughter hapa nilipo natafuta uraia mkoa mwingine! Ziraili kaweka kambi hapa aisee.
Wala sio makubwa Passion Lady, huyu Zinduna tulikubaliana kwenda Mbudya Island kipindi cha Valentine akatokomea afu akawa anantumia msg kwa simu yake nimtumie Ezypesa nikamtumia mara mbili kapotea mazima afu eti anaibuka leo na karatasi ya roll call kujikosha akidhani nimesahau.. Sikubali lazima siku zirudi nyuma