Naomba kufanya ROKOOO (ROLL CALL)!!!!!!!

Naomba kufanya ROKOOO (ROLL CALL)!!!!!!!

Ukisha "kwalifai" uripoti kwangu ili niku test... Usijeenda ukatuaibisha outta there!

utanifia ww,kama ujuavyo ukitoka unyagoni unakuwa hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiii viungo vinakuwa vinaenda vyenyewe tu,sitaki kufia jela sababu yako.
 
utanifia ww,kama ujuavyo ukitoka unyagoni unakuwa hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiii viungo vinakuwa vinaenda vyenyewe tu,sitaki kufia jela sababu yako.

We mwana we! Taratiibu usijedanganywa na hizi mnvi ukadhani nimezeeka vyote... We haya we.. Utakuja kusimulia hapa
 
utanifia ww,kama ujuavyo ukitoka unyagoni unakuwa hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiii viungo vinakuwa vinaenda vyenyewe tu,sitaki kufia jela sababu yako.

We mwana we! Taratiibu usijedanganywa na hizi mnvi ukadhani nimezeeka vyote... We haya we.. Utakuja kusimulia hapa..
 
MM nina cha kusema acha nimwachie Mungu maana hata huyo mume wangu akiona hapa itakuwa balaa si anataka kuniachanisha na mume wangu Mentor sijui kwanini watu wananitafuta ubaya kiasi hichi ukifikiria mm ni mama paroko haya ACHA NIMSAMEHE BURE KWANI HAJUI ATENDALO BHANA, labda my cousin charminglady nisaidie hapo naona sasa inakuwa balaa jamani haya
Bishanga ni mshakunaku kama nini, hebu waalike kina cacico, Madame B, gfsonwin, Mrembo by Nature, Binti.com, BADILI TABIA, King'asti, lara 1, Kaunga, Elizabeth Dominic, Jeska, Raiza, Paloma waje hapa tukamsute huyu mwanaizaya asiyejua vibaya na ngoma ya MKODOBWE
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hivi wewe Zinduna kilikupata nini hadi ukapotea/potezwa kiasi hicho....?

Halafu ile show yetu vipi??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nimechanjiwa Nicas Mtei machale yaliniplei aisee lol!!

Kuna wingu lilikuwa kinapita kila nikikaribia kuwasha ile Cessna yangu, nikaiacha.

halafu kumbe ulikuwa tayari ushavaa mavazi yako ya kipailoti ndo machale yakakucheza?
09-unyagochnk-61.jpg
 
ha haaa, Zinduna bora umejitokeza kabla hatujaandamana....
ndo tulikuwa tunaandaa maandamano hivyo....
welcome back
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom