ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
MM nina cha kusema acha nimwachie Mungu maana hata huyo mume wangu akiona hapa itakuwa balaa si anataka kuniachanisha na mume wangu Mentor sijui kwanini watu wananitafuta ubaya kiasi hichi ukifikiria mm ni mama paroko haya ACHA NIMSAMEHE BURE KWANI HAJUI ATENDALO BHANA, labda my cousin charminglady nisaidie hapo naona sasa inakuwa balaa jamani haya
![]()
Kila nikakayemwita aitikie ‘LABEKA' kwa wanawake na wanaume waitikie ‘NAAM'
- cacico umeadimika sana siku hizi, naomba maelezo kuhusu kikundi chetu cha mkodobwe kimeishia wapi, maana naona kuna watu humu washakunaku lakini bado tu kusutwa hadi leo.
- snowhite, wewe nawe michango yako humu imekuwa hafifu sana, Je umehongwa nini au umetishiwa kutekwa nyara na kung'olewa kucha?
- gfsonwin, shosti mbona nawe siku hizi speed imepungua, isisje ikawa umekuwa mama kijacho maana kipupwe hiki tutashuhudia uzao ukiongezeka, hivi atakuwa ni mtoto wa ngapi vile?
- @FP, dada yangu wa parpar pa Mfaranyaki bombi ii nyumbi ii, uko pande gani, mbona husomeki?
- charminglady, wewe hujatulia siku hizi, naona ushaanza kuzeeka sasa,haiwezekani watu wanasema maneno mbofu mbofu nawe unawachekea humu, hebu endelea kuwapa ile dozi zako za vijineno vya mipasho…..
- Asnam, u wapi bi dada, nimekumiso ile mbaya
- Kipipi, binti maringo, unaringa ka nini, maana mapozi mpaka JF, full kujiringia
- Smile, ndege mnana upo? Nakuona tu unavyowazodoa wanaume humu, naomba uongoze ngoma ya msuto ya mkodobwe maan cacico kashindwa kazi.
- Preta, Mambo sister, vipi utakuja lili ZNZ
- marejesho, We siku hizi umeadimika sana kama Nyamayao
- ladyfurahia nimepata habari kupitia kwa Bishanga eti uligonganisha mabwana humu jF hivi karibuni…. Eti ni kweli au anakusingizia tumsute?
- Asprin, halafu wewe mzee wewe, naona kazi ya ukaguzi inakushinda siku hizi, kuna wageni kbao humu lakini mpaka leo hawajakaguliwa
- Babu DC Dark City uko wapi we mzee, retired Soldier wa KAR…
- Arushaone, habari yako msee wa R Chuga, Poleni kwa kufiwa na mabilionea
- watu8, upo bro, nimepata habari zako kupitia PM kuwa siku hizi hukamatiki
- Bishanga, msuto unakusubiri, ngoja niitishe jaramba
- Boflo, siku hizi umepouwa sana siona zile picha zako za kufikirisha..
Last edited by a moderator: