Naomba kufahamu Wasifu wa James Mwainyekule, Mkurugenzi Mkuu mpya wa EWURA

EWURA ni shirika la umma linaloendeshwa kwa kodi za wananchi, mantiki ndio hiyo.
Busara zaidi umfuate ofisini kwake EWURA akupatie CV yake. Binafsi sioni mantiki yake hapa ya nini zaidi ya kutaka kuanza kujadili watu na majungu tu.
 
hivi nafikiri kuwa jamaa pisi Kali hazitaki?kweli?nazani amefumba macho malengo yake yaendesio kwakibibi hichooo maamaenahapo kimejipodoa sipati picha kinapo amka asubuhi kabla hakijanawa japo usoo
Mbona wameoana siku nyingi hata kabla Tulia hajateuliwa kuwa Mbunge na Naibu Spika na wakati huo Mwanaume alikuwa na cheo kikubwa tu kumzidi Tulia aliyekuwa mwalimu hapo UDSM. Siyo vizuri kuzushia mambo ya uwongo kwa watu msiowajua.
 
ila haitoi ukweli kuwa tulia surangumu..
 
Mume
Bila shaka kujua wasifu wa Mtumishi yeyote wa EWURA hasa kwa vile ni Mtumishi wa Umma si kosa kisheria.

Basi na mimi kama raia wa Tanzania ningepependa kufahamu wasifu wa mtumishi huyu wa nchi yangu
Naomba kuwasilisha.
Ni mume Tulia hiyo ndio sifa kuu na muhimu.

Tuendelee ulaji wa asali.
 
Wewe nahisi utakua shoga
Shoga ni wewe unaefuatila maisha ya mwanaume mwenzio eti Cv yake ikoje ?unataka akufanyie nini wewe ambae hata kama hana sifa huna uwezo wa kubadilisha chochote kile ?tafuta na namba yake kabisa KIongozi
 
Nyama gani tena mkuu inatosha kwa Hilo

Lingine kwa nyongezo Ni kuwa Kama alikuwa kaimu mkurugenzi wa tpdc kwa elimu yake siyo ya kuwa pale kwa Kaz Kama hzo za tpdc

Angepazwa kuwa finance manager au director of finance na siyo kukaimua kazi hyo na ndio maana mambo hayaendi kule

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Navyomfahamu ni kwamba Dr. James Andilile amebobea katika finance upande wa nishati. Amewahi kuwa kaimu Mkurugenzi TPDC na pia amewahi kuwa Kamishna Wizara ya Nishati na Madini enzi hizo kabla hata Dr. Tulia ajawa mwanasiasa. Pia amefanya PhD katika Finance upande wa nishati
 
Au wewe ndiye Dr James Mwainyekule mwenyewe? Haiwezekani uwe so detailed na data za mtu mwingine
 
Back
Top Bottom