Naomba kufahamu Wasifu wa James Mwainyekule, Mkurugenzi Mkuu mpya wa EWURA

We acha upuuzi bwana! Kiongozi wa taasisi ya umma kufahamika sio swala la hiari, ebo!
Ukishaona CV yake ndio itakusaidie nini ? embu tafakari muda unaopoteza humu kufuatilia wasifu wa wanaume wenzako ? JITAFAKARI aisee.
 
Kama huna jibu kaa kimya acha kuchachawa kama umeingizwa pilipili!!
Cv yake itakupa mlo kwa siku ya leo ?je hata kama hana sifa husika sidhani kama unauwezo wa kufanya chochote ili kubadilisha hali halisi
 
Wewe ni moja kati ya watu wajinga sana kwenye taifa hili. Ptuuuuuu mate usoni
Wajinga ni kama wewe unaefuatilia sifa za mwanaume mwenzio ,hivi hata kama hana sifa unao uwezo wa kufanya lolote ili kubadilisha hali?sidhani kama unao huo uwezo ,na kama huna uwezo huo ,kwanini unapoteza muda wako ?JITAFAKARI
 
Mume
Bila shaka kujua wasifu wa Mtumishi yeyote wa EWURA hasa kwa vile ni Mtumishi wa Umma si kosa kisheria.

Basi na mimi kama raia wa Tanzania ningepependa kufahamu wasifu wa mtumishi huyu wa nchi yangu
Naomba kuwasilisha.
Ni mume Tulia hiyo ndio sifa kuu na muhimu.

Tuendelee ulaji wa asali.
 
Ni kijana mmoja Handsome,Msomi toka wilaya ya rungwe,kabobea kwenye uhasibu na mambo ya fedha ni CPA T,MBA na Phd
Ni mume wa Dr. Tulia Ackson Mwansasu,spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania
Karibu kalumbu wa kajunjumele
Yule mkurugenzi sliteuliwa juz juz hapa katenguliwa kumpisha mume wa tulia,?
 
Back
Top Bottom