Naomba kufahamu Wasifu wa James Mwainyekule, Mkurugenzi Mkuu mpya wa EWURA

Tunakoelekea Wachache wanagawana nchi.
Na iwapo 2025 vijana watakosea, Hali Idadi kuwa mbaya sana

Screenshot_20230204-150442.jpg
 
Bila shaka kujua wasifu wa Mtumishi yeyote wa EWURA hasa kwa vile ni Mtumishi wa Umma si kosa kisheria.

Basi na mimi kama raia wa Tanzania ningepependa kufahamu wasifu wa mtumishi huyu wa nchi yangu.

Naomba ku

Bila shaka kujua wasifu wa Mtumishi yeyote wa EWURA hasa kwa vile ni Mtumishi wa Umma si kosa kisheria.

Basi na mimi kama raia wa Tanzania ningepependa kufahamu wasifu wa mtumishi huyu wa nchi yangu.

Naomba kuwasilisha.
Busara zaidi umfuate ofisini kwake EWURA akupatie CV yake. Binafsi sioni mantiki yake hapa ya nini zaidi ya kutaka kuanza kujadili watu na majungu tu.
 
Jazia jazia nyama kidogo mkuu
Nyama gani tena mkuu inatosha kwa Hilo

Lingine kwa nyongezo Ni kuwa Kama alikuwa kaimu mkurugenzi wa tpdc kwa elimu yake siyo ya kuwa pale kwa Kaz Kama hzo za tpdc

Angepazwa kuwa finance manager au director of finance na siyo kukaimua kazi hyo na ndio maana mambo hayaendi kule

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Busara zaidi umfuate ofisini kwake EWURA akupatie CV yake. Binafsi sioni mantiki yake hapa ya nini zaidi ya kutaka kuanza kujadili watu na majungu tu.
Ndio wanaume wa Tanznia wamefikia hatua ya kufuatilia maisha ya wanaume wenzao ,hiki kizazi sio kabisa
 
Ndio maana kile kijibwa jike kinajimwambafy kule zenji kwa sababu ya vyeo vya kidunia hajui binadamu duniani ni mpita njia tu,yupo wapi mungu mtu wao waliyekuwa wanamuabudu!
 
"The significance of this study aligns itself with the problems identified. The
problems are narrowness of coverage, inadequacy of social security benefits, lack of
coordination, fragmentation of social security schemes and lack of good governance."
 
Bila shaka kujua wasifu wa Mtumishi yeyote wa EWURA hasa kwa vile ni Mtumishi wa Umma si kosa kisheria.

Basi na mimi kama raia wa Tanzania ningepependa kufahamu wasifu wa mtumishi huyu wa nchi yangu.

Naomba kuwasilisha.
Ana CV nzuri tu basi kahamie kwake
 
Back
Top Bottom