Natafuta kazi ya udereva. Nina leseni Class D na uzoefu wa miaka 2

Subira9

New Member
May 2, 2023
3
0
Habari wakuu,

Kama kichwa kinavyosema, natafuta kazi ya udereva, umri miaka 22, uzoefu miaka 2 leseni class D, elimu kidato cha sita. Iwe udereva binafsi au biashara kwa magari madogo ya mizigo gari yoyote automatic au manual

0652102313
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom