Naomba mawazo yenu kozi ya kusomea ufundi magari

Elongolongo

Member
Oct 29, 2023
23
25
Mimi ni kijana wa miaka 19, nipo Kigoma, nilimaliza kidato cha nne mwaka jana. Na nilipata div 4 ya point 33. Nilienda Veta nikasoma udereva na nina cheti pamoja na leseni daraja D, na tayari nimeshakuwa dereva mzuri tu, kwakuwa nilianza kuendesha gari kabla hata ya kwenda Veta kusomea. Lakini kwasasa nina mpango wa kwenda Veta kusomea kozi za ufundi magari.

Sasa naomba kuuliza ndani ya kozi za ufundi wa magari ni upande upi ambao unaweza kuwa na soko nzuri baada ya kumaliza mafunzo.. mf.. Umeme wa magari, kunyoosha bodi za magari n.k.

Kwa yeyote anayefahamu naomba kufahamishwa pia. Asanteni!!!
 
Mimi ni kijana wa miaka 19, nipo Kigoma, nilimaliza kidato cha nne mwaka jana. Na nilipata div 4 ya point 33. Nilienda Veta nikasoma udereva na nina cheti pamoja na leseni daraja D, na tayari nimeshakuwa dereva mzuri tu, kwakuwa nilianza kuendesha gari kabla hata ya kwenda Veta kusomea. Lakini kwasasa nina mpango wa kwenda Veta kusomea kozi za ufundi magari. Sasa naomba kuuliza ndani ya kozi za ufundi wa magari ni upande upi ambao unaweza kuwa na soko nzuri baada ya kumaliza mafunzo.. mf.. Umeme wa magari, kunyoosha bodi za magari n.k. Kwa yeyote anayefahamu naomba kufahamishwa pia. Asanteni!!!
Kama shida yako ni soko basi ni umeme.
Ila kabla hujajiunga wewe binafsi unahitaji uwe nani ktk hayo magari?
 
Mimi ni kijana wa miaka 19, nipo Kigoma, nilimaliza kidato cha nne mwaka jana. Na nilipata div 4 ya point 33. Nilienda Veta nikasoma udereva na nina cheti pamoja na leseni daraja D, na tayari nimeshakuwa dereva mzuri tu, kwakuwa nilianza kuendesha gari kabla hata ya kwenda Veta kusomea. Lakini kwasasa nina mpango wa kwenda Veta kusomea kozi za ufundi magari. Sasa naomba kuuliza ndani ya kozi za ufundi wa magari ni upande upi ambao unaweza kuwa na soko nzuri baada ya kumaliza mafunzo.. mf.. Umeme wa magari, kunyoosha bodi za magari n.k. Kwa yeyote anayefahamu naomba kufahamishwa pia. Asanteni!!!
Nmependa mwandiko wako unaandika vizuri kuliko degree holder wa humu jf
Nakushauri chukua course ya umeme wa magari inalipa sana nmesikia kwa mashuhuda wengi
 
Mbona unatusema vibaya, degree holders?
 
Mimi ni kijana wa miaka 19, nipo Kigoma, nilimaliza kidato cha nne mwaka jana. Na nilipata div 4 ya point 33. Nilienda Veta nikasoma udereva na nina cheti pamoja na leseni daraja D, na tayari nimeshakuwa dereva mzuri tu, kwakuwa nilianza kuendesha gari kabla hata ya kwenda Veta kusomea. Lakini kwasasa nina mpango wa kwenda Veta kusomea kozi za ufundi magari. Sasa naomba kuuliza ndani ya kozi za ufundi wa magari ni upande upi ambao unaweza kuwa na soko nzuri baada ya kumaliza mafunzo.. mf.. Umeme wa magari, kunyoosha bodi za magari n.k. Kwa yeyote anayefahamu naomba kufahamishwa pia. Asanteni!!!
kama unaweza piga full course uwe nondo multipurpose
 
Kuwa nani kiaje mkuu.. sijakuelewa samahani.
Magari yamejigawa pande tofauti² Eg. -Fundi wa umeme kwa magari ya ulaya/ Japan zetu za Toyota, umeme magari makubwa ya kisasa/madogo pia mitambo kama magreda.
-Ufundi wa magari ktk department ya body, kunyoosha + rangi.
-Ufundi wa engine MV, kwa engine za gari ndogo/kubwa/mitambo, pia kama ni kudili na za Japan/Ulaya/Eshia, Gg. Toyota,Nissan/Honda/Yundai.
Wewe unapendelea uweje, au uwe wa magari yote ilimradi tu fundi umeme.
 
Napenda kuwa fundi wa magari yote
 
Mungu akusamehe kwakuwa haujuwi nilipi ulisemalo. Kama unaona ushauri huo unaonipa mimi ni mzuri na wamaana, jaribu basi kushauri waliopo katika familia yako...
mimi nimekushauri wewe usiniambie kuhusu familia yangu
 
Sasa naomba kuuliza ndani ya kozi za ufundi wa magari ni upande upi ambao unaweza kuwa na soko nzuri baada ya kumaliza mafunzo.. mf.. Umeme wa magari, kunyoosha bodi za magari n.k.
Umeme wa MAGARI ni bonge la deal, magari ya Sasa ni Umeme, ukishamaliza nunua diagnosis machine, fungua Ofisi Yao endelea kuwa MWAMINIFU huo ndio utakua mtaji wako
 
Back
Top Bottom