Naomba kuelimishwa kidogo juu ya hili

Naomba kuelimishwa kidogo juu ya hili

Ah wee chura na sura muhimu... Hao wachungaji wenyewe umewaona wake zao
Pisi zimesimama balaaa. Tabia baadae bwana kwanza mvuto.
Kweli bro mwanamke hana chura, hana sura nzuri huyo ni mwanaume mwenzako. Kuishi na mwanamke ambaye amejezia mbele maziwa na tumbo huku nyuma yupo flat kama mgongo wa kabati, hata kama ana akili simtaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli bro mwanamke hana chura, hana sura nzuri huyo ni mwanaume mwenzako. Kuishi na mwanamke ambaye amejezia mbele maziwa na tumbo huku nyuma yupo flat kama mgongo wa kabati, hata kama ana akili simtaki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wee kama mie mzeee. Mwanamke mwenye akili wa nini bwana wewe. Hiyo akili ni extra cha msingi chura na sura.

Akili ingebeba umuhimu pale ambapo kweli 50 kwa 50 ndani nyumba lakini as long as kula ada za shule medical billz na rent nalipa mie kidume akili za mwanamke kwangu mie will always be extra but not neccesity
 
Wee kama mie mzeee. Mwanamke mwenye akili wa nini bwana wewe. Hiyo akili ni extra cha msingi chura na sura.

Akili ingebeba umuhimu pale ambapo kweli 50 kwa 50 ndani nyumba lakini as long as kula ada za shule medical billz na rent nalipa mie kidume akili za mwanamke kwangu mie will always be extra but not neccesity
Akija hana chura inabidi mshirikiane kulipa ada maana huyo ni mwanaume mwenzako. Hela nyingine peleka kwanmchepuko wenye vigezo.
Chagua mtoto kisu hata kama alitaga form 4, akili atatumia zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akija hana chura inabidi mshirikiane kulipa ada maana huyo ni mwanaume mwenzako. Hela nyingine peleka kwanmchepuko wenye vigezo.
Chagua mtoto kisu hata kama alitaga form 4, akili atatumia zako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wee jamaaa kiboko eti kama alitaga form four🤣🤣🤣🤣🤣

Kweli mwanawane tutafute hela tupate warembo wenye chura na sura maana maisha tunapigana mwenyewe wanaume mke yeye nikupanua miguu tuu.
 
wote mmelala saa 5, mshapiga viroba vyenu...wote mnaamka saa 10, game ya alfaji, mnaamka 11.30, mnatoka saa 12.30....kila mmoja anatoka na bilauri lake la kahawa....kuziandaa ni jinsi mepenavyo...leo yeye kesho mimi...but sio ratiba ni mahaba tuu....on weekend breakfast, lunch and dinner,,,,familia nzima in one table....thats it....

Bila shaka wewe ni KE [emoji15]
 
Nilivyoona

Hii "Kufika home saa tatu usiku, kuamka saa 10 asubuhi, kutoka saa 11 asubuhi" ndio imetumika sana kama sababi ilopelekea pia kutumika sana kwa sentensi hii "mfumo wa maisha kubadilika".

Lakini pia nadhani hiyo ni kwa Wakaazi zaidi wa Dar Es Salaam. Kulingana na msongamano wa usafiri.

Swali langu naongezea; Je kwa wale waishio mikoa ambayo inaruhusu kutoka nyumbani saa moja asubuhi na kurudi nyumbani angalau saa moja kasoro jioni, mnajibuje swali la mtoa mada?

Au ndio basi kwa vile inatokea Dar Es Salaam basi ni Tanzania nzima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi guys,
Habari zenu, natumaini mpo salama japo najua hali si shwari, kwani hofu ya corona imetawala kila pande ya dunia, tuendelee kuomba Mungu atulinde wakati huo huo tukifuata maelekezo yote yatolewayo na wizara ya afya..!!

Naomba nitoe hili jambo, katika mfumo wa swali naamini kuna wajuvi wa kutosha humu na watanisaidia barabara katika hili,

Kuna siku asubuhi tulikuwa tupo pahala na baadhi ya wamama watu wazima kama wawili na mkaka mmoja, kila mmoja kaingia mule ndani kwa ajili ya shughuli zake, akaingia mkaka mwingine, alivyomkuta mwenzie pale ndani, akamuambia 'bora hata nimekuona, twende tukapate breakfast, njaa inaniuma mno', na kweli yule mwenzie akamsapoti vyema kabisa kuwa na yeye njaa inamuuma hasa,

Wale wamama wakawashangaa, mmoja akamuambia 'wewe si tumekuozesha tu mwaka Jana? Umeshaanza kutoka nyumbani bila kuandaliwa chai mapema hivyo.!?'
Akacheka, 'hamna bwana nimemuacha amelala sitakagi kumsumbua'.! Mwenzie akachangia kuwa wanatoka wote na mkewe alfajiri na mapema, huo muda wa kuandaa chai asubuhi utatoka wapi.?

Wale wamama wakawasema sema pale, si busara mwanaume mwenye mke kutoka nyumbani bila kupata chochote asubuhi bwaana, wakaongea ongea pale, wale wakaka wakaenda zao.! Kiukweli hata sikuchangia chochote, niliona kabisa hayanihusu, wale wamama wakanigeukia eti 'binti hivyo ndivyo tunavyowafunza mkaishi na waume zenu? Nikajifanya pale 'ujue mama kila familia ina taratibu zake na pia wana makubaliano yao, hivyo kila familia inafanya kile inachoona wao wapo sahihi'.!

Sikutaka kutia comment yoyote katika lile sababu sikujiona kama nipo kwenye position ya ku-judge ama niko na 'eksipiriensi' ya kutosha katika masuala hayo yawahusuyo wanandoa, japo kiukweli sijawahi ona mtu aondoke nyumbani kwa Mama Carleen hata awe mgeni wa kuwahi basi la alfajiri eti atoke bila kutia kinywani chochote kitu, na ndivyo nilivyokuzwa nikaaminishwa hiyo ndiyo busara.!

Je, kiukhalisia kwa kuzingatia mfumo mzima wa maisha yetu ya kudamka hata kabla ya jogoo kuwika hiki kitu kipo applicable? Na kama ni ndiyo, Je, kwa ambao hawafanyi hili, hivi ndiyo inamaanisha kuwa kuna mahali tunafeli sisi kama wanawake?? Japo wanaume wetu baadhi wanaonesha kuridhika na hili, hivii ni kweli wanaume wetu mmeridhika au ndiyo zile za, wacha tu tulisongeshe gurudumu la maisha..??
Kusema kweli itategemea. Kama karidhika ni sawa. Mfano wote mnadamka kuwahi daladala mwanaume mwingine anakwambia atakunywa ofisini. Mwingine hata ukijihimu, anakwambia hawezi kunywa chai mapema sana. So it depends
 
Ndiyo dunia inabadilika, na mpaka hapa tumefika kuna namna tayari tumeanza kunyooka hasa..!

Wakati mwingine neno la faraja unaloweza kupewa ni 'huwezi', Na hii sasa ndiyo itakupa ari na uchu wa kulifikia lengo lako.!! Kuambiwa kila siku 'unaweza' itakupa uzembe na kujikweza..!!

We're still living broh, and the best is yet to come.! Let's hope for the best but more importantly we gotta also prepare for the worst..!!
Word.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Mzee baba huwa napenda sana nondo zako. Tunatofautiana kwenye suala la imani tu
Kwenye imani mimi sijatofautiana nawe kwa sababu nakubali haki yako ya kuamini unavyotaka.

Ukisema imani yako ni fact hapo ndipo tutatofautiana.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Wee jamaaa kiboko eti kama alitaga form four[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kweli mwanawane tutafute hela tupate warembo wenye chura na sura maana maisha tunapigana mwenyewe wanaume mke yeye nikupanua miguu tuu.
Akili atatumia zangu bro.
Mademu waliozungusha form 4 ni wakali balaa. Wengi waliofaulu ni sura za baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili atatumia zangu bro.
Mademu waliozungusha form 4 ni wakali balaa. Wengi waliofaulu ni sura za baba.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa warembo watafaulu vipi wakati kila siku anatongozwa bwana wee... Inafika sehemu lazima utachanganyikiwa na mgegedo.

Wale sura ya kiume akitongozwa january ni mpaka september ndio atongozwe tena lazima akaze msuli.
 
Back
Top Bottom