Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,832
Wameamua kupambana na mzimu wa Magu wakidhani wataweza! Hawana jipya, wanatapatapa tu, tuwapuuze😡!Kila nikitazama mijadala kwenye mitandao ni kama wapinzani bado wapo kwenye mapambano na hayati Magufuli.
Rais na mwenyekiti wa sasa wa CCM mama Samia ni kama hawana tatizo nae, anawakosha sana na wanamtumia kuwaumiza wafuasi wa Magufuli.
Kwa wataalam wa siasa hii ina maana gani kwa siasa za upinzani?
Tutegemee battle ya wapinzani na Magufuli mpaka wakati wa uchaguzi 2025 au hapo katikati wataamishia vita yao kwa mama Samia?
Binafsi naona siasa za Magufuli zitatawala sana awamu hii maana naona Samia kaamua mapema kujifungamanisha na Magufuli.