Naomba ID yangu iheshimiwe tafadhali

Naomba ID yangu iheshimiwe tafadhali

Mods naomba muuache ujumbe huu uwafikie wana MMU wengi.

Limeibuka kundi la watu wengi humu ndani wamenipachika jina la 7800/= na wengine wengine wananiita "BAHARIA WA 7800/="

Ndugu zangu mimi siitwi 7800/= na wala mimi sio baharia kabisa ila mimi naitwa MAGALLAH R.

Naomba ID yangu izingatiwe. Ninasistiza tena mimi sio "BAHARIA WA 7800/=. Nadhani tumeelewana. PUUUUUUUMBAVU SANA.
basi wewe ni BIBILIA
 
Umeamua ujitambulishe baharia
 
tunakuita kwa mara ya mwisho 'baharia wa 7800',

ila mtoa mada ni kiboko, yn mwanza to dar unatoa 7800.! aise kweli papuchu imeshuka thamani,

Oya,kwa hiyo alivyomla akamtoa 7,800 au??
 
Mwamba wa bei elekezi...mm nataka nimlete mtu kutoka morogoro tu hebu niambie anatakiwa apewe sh ngapi maana wa mwanza anapewa 7800. Tumia kikokotoo chako nisije toa pesa nyingi
 
Mods naomba muuache ujumbe huu uwafikie wana MMU wengi.

Limeibuka kundi la watu wengi humu ndani wamenipachika jina la 7800/= na wengine wengine wananiita "BAHARIA WA 7800/="

Ndugu zangu mimi siitwi 7800/= na wala mimi sio baharia kabisa ila mimi naitwa MAGALLAH R.

Naomba ID yangu izingatiwe. Ninasistiza tena mimi sio "BAHARIA WA 7800/=. Nadhani tumeelewana. PUUUUUUUMBAVU SANA.
Kausha mwana... Ukionesha paniki ndio watazidi kukoleza moto... Wee kausha tu.. Hili nalo litapita kama mengine yote
 
Kwamba baharia wa buku saba mia nane

Lilianzia wapi mkuu baharia wa 7800
 
Naomba ujasiri wako mkuu wa kutoa elf saba mia nane.

Sipati picha ulipokua unaitoa ile 800..
Kwamba ulianza na 500 then 200 ukamaliza na 100😂😂😂😂
We jamaa ni lijendi
 
Wenzio wanatoa onyo kali wewe unaleta comedy
IMG_20190909_235725.jpg

Au yamekufika haya
IMG_20190909_235735.jpg
 
ila jamaa una roho ngumu kinoma, ukamwachaje mtoto wa watu gesti na hujalipa chumba, hana nauli, ukamwachia 7800, ndo ulitaka arudi nayo mwanza au??? au angemuita babu yake aje kumchukua nite kali na ungo???

we kweli BAHARIA WA 7800
 
Mods naomba muuache ujumbe huu uwafikie wana MMU wengi.

Limeibuka kundi la watu wengi humu ndani wamenipachika jina la 7800/= na wengine wengine wananiita "BAHARIA WA 7800/="

Ndugu zangu mimi siitwi 7800/= na wala mimi sio baharia kabisa ila mimi naitwa MAGALLAH R.

Naomba ID yangu izingatiwe. Ninasistiza tena mimi sio "BAHARIA WA 7800/=. Nadhani tumeelewana. PUUUUUUUMBAVU SANA.
cutelove thibitisha kama ashakutumia zaidi ya hela aliyokuachia 7800 baada ya kukudinya usiku kucha. Lakini cutelove kabla ya kutujibu tueleze huko Namongo na Sirari ulipata zaidi ya 7800 na kama ulipata, je huyu wa DAR ulimkatia ngapi?
 
Back
Top Bottom