Kwamba baharia wa buku saba mia nane
Lilianzia wapi mkuu baharia wa 7800
cross multiplication against real nauliMwamba wa bei elekezi...mm nataka nimlete mtu kutoka morogoro tu hebu niambie anatakiwa apewe sh ngapi maana wa mwanza anapewa 7800. Tumia kikokotoo chako nisije toa pesa nyingi















Mwamba wa bei elekezi...mm nataka nimlete mtu kutoka morogoro tu hebu niambie anatakiwa apewe sh ngapi maana wa mwanza anapewa 7800. Tumia kikokotoo chako nisije toa pesa nyingi



cross multiplication against real nauli
50,000=7800
8,000=?


1248






Bora ungepuuza tu. Maana sasa ndio watakuita kwa kasi ya 4G
.Hivi watu wanaojiita mabaharia wanajua upande mwingine wa hilo jina maana yake au?
Mwamba wa bei elekezi...mm nataka nimlete mtu kutoka morogoro tu hebu niambie anatakiwa apewe sh ngapi maana wa mwanza anapewa 7800. Tumia kikokotoo chako nisije toa pesa nyingi
sawa wa baharia wa 7800/=Mods naomba muuache ujumbe huu uwafikie wana MMU wengi.
Limeibuka kundi la watu wengi humu ndani wamenipachika jina la 7800/= na wengine wengine wananiita "BAHARIA WA 7800/="
Ndugu zangu mimi siitwi 7800/= na wala mimi sio baharia kabisa ila mimi naitwa MAGALLAH R.
Naomba ID yangu izingatiwe. Ninasistiza tena mimi sio "BAHARIA WA 7800/=. Nadhani tumeelewana. PUUUUUUUMBAVU SANA.