sunnah

  1. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania NINI MAANA YA SUNNAH?

    Assalam alaykum Watu wengi wakisikia neno “Sunnah” hudhani ni jambo la hiari lisilo na umuhimu mkubwa katika dini. Wengine hudhani Sunnah ni mavazi fulani au muonekano pekee. Ukweli ni kwamba Sunnah ni sehemu muhimu sana ya Uislamu, na kuipuuza Sunnah ni hatari kubwa kwa dini ya mtu. Maana ya...
  2. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Je, kushikamana na Sunnah ni Itikadi kali au ndio njia iliyonyooka?

    Shukrani zote anastahiki Allah Mola mlezi wa walimwengu wote Swala na salamu zimshikie kipenzi chetu mtume Muhammad swalallahu alayhi wasalam na jamaa zake na maswahaba zake na watakaowafuata hao kwa wema mpaka siku ya mwisho. Ama baada ya hayo; Katika zama hizi, watu wengi wamekuwa wakiwaita...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sunnah za Muhammad(s.a.w)

    Assalam alaykum enyi watumwa wa Allah. Assalam alaykum enyi wakereketwa wa mtume Muhammad (s.a.w). ALLAHUMA SWALII A'LAA MUHAMMAD YARABBI SWALII A'LAYHI WASALIM Hakikaka mtume ndo mbora wa viumbe. Hakika mbora wa viumbe ndiye mbora wa elimu. Hakika mbora elimu ndiye mbora wa matendo. Hakuna...
  4. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Naomba Fatawa za Maulamaa kutoka katika kitabu na Sunnah katika hili.

    Asalaam alykum. Ndugu waislamu mliofanikiwa kupata Darsa mbali mbali , naomba Fatawa katika hili , kutoka katika kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia. Hii habari ni kwamba figo ya nguruwe iliyopandikizwa katika mwili wa mtu huyo inafanya kazi. Wabillah Taufiq
  5. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Unaelewa nini kuhusu waislamu wanapotamka neno 'Sunnah'?

    Katika Uislamu kuna elimu inaitwa Hadithi inarejelea kile ambacho Waislamu wengi tunaamini kuwa ni rekodi ya maneno, vitendo, na idhini ya kimya ya nabii wa Kiislamu Muhammad s.a.w kama inavyopitishwa kupitia misururu ya wasimulizi. Kwa maneno mengine, Hadith ni riwaya kuhusu yale aliyosema na...
Back
Top Bottom