Naomba analysis ya hizi sample za beats

kaka nahitaji darasa la mziki hasa kinanda ni bei gani?


huo sio mziki ni makelele ndugu. Go to school. Nikikuukiza ulikuwa unapiga key gani? Ulikuwa unapiga mziki gani? Huna hata jibu ndugu. Go to school ndugu.
 
Back
Top Bottom