Naomba analysis ya hizi sample za beats

Kwa mfano root ya C ni kugusa combination ya C+E+G

c-major-chord-1-is-c-major-on-piano-keyboard.png
 
Kisha unatakiwa ujifunze Combinations ya keys kwenye keyboard.
Anza na Do, Re, Mi, Fa, So, La, Ti.
Kwenye Piano(Keyboard) Key iliyo rahisi sana ni C.
Hiyo inahusisha key zote nyeupe kwenye Major key bila kugusa Keys Nyeusi.
hapa kwenye combination naomba unifundishe
 
Major Key 4/4 C sample
 
Attachments

  • MajorC.mp3
    364.9 KB · Views: 49
(C+E+G) Then (C+F+A) Then (C+E+G) Then (A+D+G) One round for simple 4/4
 
Kama unataka shule hiyo hapo ni mwanzo wa music. Basis baadae utajifunza minor, suspended chord, diminished chord piano nk. Na wakati gani kupiga na wapi. then utaona namna gani music ulivyo mtamu.
 
i know major chords,minor chords and harmonic chords
 
Kama unataka shule hiyo hapo ni mwanzo wa music. Basis baadae utajifunza minor, suspended chord, diminished chord piano nk. Na wakati gani kupiga na wapi. then utaona namna gani music ulivyo mtamu.
hapo kwenye mambo ya timing naponi shida please naomba lecture about keys timing
 
hivi kaka ni lazima kick and snare kutumia scale sawa mfano 4/4
Hapo nimekuonesha mfano tu wa 4/4. But kuna namna nyingi tu ya kupiga beat.
Check 4/4 Sample only major with simple base
 
Attachments

  • SampleC.mp3
    364.9 KB · Views: 47
Hapo nimekuonesha mfano tu wa 4/4. But kuna namna nyingi tu ya kupiga beat.
Check 4/4 Sample only major with simple base
good kwenye hiphop naona wanatumia saana octave yaani only one finger not major or minor or et cetera
 
Sasa hizo ni basics tu. Sasa tukienda ndani zaidi ndio utasikia radha ya music ulivyo mtamu. Hapo nimekutengenezea beat ya haraka haraka. Ukiaka full beat lazima uwe unajua note, jifunze note utafurahia muziki
 
yeah nafahamu kutoka chini kwenda juu pitch inaongezea wanaita sharp right hand ni sharp au clef afu left hand ni bass
 
Sasa hizo ni basics tu. Sasa tukienda ndani zaidi ndio utasikia radha ya music ulivyo mtamu. Hapo nimekutengenezea beat ya haraka haraka. Ukiaka full beat lazima uwe unajua note, jifunze note utafurahia muziki
samples zangu
 
Attachments

  • melody38.mp3
    2.1 MB · Views: 43
  • melody37.mp3
    2.3 MB · Views: 43
Back
Top Bottom