Naomba analysis ya hizi sample za beats

Naomba analysis ya hizi sample za beats

sample nyingine ya beats hiyo hapo wanau naomba analysis natumia DAW inaitwa LMMS
 
Attachments

Je unajua muziki?
Je unataka utengeneze muziki wa aina gani?
Labda nijibu kwanza hayo maswali kisha niweze kueleza zaidi. Kwa upande wangu as Music expert.
 
Na pia unajua aina za beats?
4/4
3/6
1/3
1/2
Na kuendelea....
 
i love doing all music
okay naomba unipatie shule kaka please wapi nakosea wapi napatia napenda saaaaaaaaaana hiphop music unajua beat maker ndio wanatransformmusic kama vile bob marley alivyochanganya ska and jazz and r&b nakuzalisha reggae music
 
i know the basic of music kaka sio kilaza saaaaaana
Ungekuwa unajua ninauhakika ungeelewa kuna makosa gani kwenye hizo beats zako. Wewe huelewi kwanini nimekuuliza unataka kutengeneza music wa aina gani?
Naomba kwanza unijibu swali hilo.
 
Ungekuwa unajua ninauhakika ungeelewa kuna makosa gani kwenye hizo beats zako. Wewe huelewi kwanini nimekuuliza unataka kutengeneza music wa aina gani?
Naomba kwanza unijibu swali hilo.
napenda kuproduce music wowote ule kaka
 
Ungekuwa unajua ninauhakika ungeelewa kuna makosa gani kwenye hizo beats zako. Wewe huelewi kwanini nimekuuliza unataka kutengeneza music wa aina gani?
Naomba kwanza unijibu swali hilo.
kaka naomba utoe elimu yakokwangu no need of many words kaka
 
kaka naomba utoe elimu yakokwangu no need of many words kaka
Baada ya kujifunza beat. Unatakiwa kujifunza "NOTE"
Kwenye standard music zipo Note 12
A,B,C,D,E,F,G hizo ni saba. Na kuna Sharp Note (#) ambazo zipo tano. Jumla 12
 
Kisha unatakiwa ujifunze Combinations ya keys kwenye keyboard.
Anza na Do, Re, Mi, Fa, So, La, Ti.
Kwenye Piano(Keyboard) Key iliyo rahisi sana ni C.
Hiyo inahusisha key zote nyeupe kwenye Major key bila kugusa Keys Nyeusi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom