Kusema mabaka ni kuumwa au aliuguaga ukoma si dhan km hukumu hiyo ipo mahal pake.
Lzm ujue,uchunguze kwa sir kuwa yametokana na nn mabaka hayo.
Ila kipendacho roho
[emoji3] [emoji3] [emoji3] LioneAggyjay nawe umo daah? yaani kama daktari wa mifugo vile au unjionaje? i mean ki purply purply.
Asanteeee kwa kuniita LION au ulimaanisha vingine ?[emoji3] [emoji3] [emoji3] Lione
HapanaAsanteeee kwa kuniita LION au ulimaanisha vingine ?
Asanteee mtoto mzuri ntakunulia pipi mti taaamu.Hapana
Wazee wetu zamani walikuwa na utaratibu wa kuwapeleka mabinti zao unyagoni na kweli tuliyaona matunda yake kwani mabinti wa zamani walikuwa wasafi na wenye kujistiri maungo yao......ilikuwa huwezi kujutia kulala na binti aliyepitia unyagoni.....lakini mabinti wa miaka hii ni kero badala ya raha pindi muwapo faragha.....na hii ni ishara kuwa kuna mahali tumekosea katika malezi ya mabinti wa sasa......
Huwa inashangaza unakuta mtu badala ya kutumia maji kujisafisha badala yake wanatumia makaratasi yanayoitwa toilet papers....sasa kwa akili ya kawaida ile karatasi inasafisha au inapakaza uchafu...!!.....
Sasa kwa akili ya kawaida kama binti anashindwa kuujali mguu wake unaonekana anaweza vipi kuutunza utupu wake usionekana.....???!!!
Pipi mti ndo nini?Asanteee mtoto mzuri ntakunulia pipi mti taaamu.
Pipi mti ndo nini?
Yaani pipi ile ambayo ina mti au kijiti wakati ualambalamba unashika hiko kijiti halafu unanyonya kuzungurusha mdomoni,tena ziko zenye ladha ya machungwa,parachichi,asali na zingine zina ladha fenesi na togwa.Pipi mti ndo nini?
Mboona nimeshakujibu Aginessi?Pipi mti ndo nini?
Kuna manzi nlikuwaga nae ana mabakabaka eti alikula kondoo akamkataa...
Basi washkaji walikuwa wanamwita Paka madonda. Ni kwikwi...
Sawa...Nazisubiri basYaani pipi ile ambayo ina mti au kijiti wakati ualambalamba unashika hiko kijiti halafu unanyonya kuzungurusha mdomoni,tena ziko zenye ladha ya machungwa,parachichi,asali na zingine zina ladha fenesi na togwa.
Na wengine waliugua Mkanda wa jeshi.........!Mabaka miguuni ni ishara kuwa aliugua ugonjwa Fulani lakini si dhahiri kuwa bado anaumwa.
Na heri ya huyo ambaye homa/ugonjwa ulitoka nje na kutibiwa, kuliko wale wale wenye ugonjwa ndani.
Haya unifahamishe nikutumie by which means,ili nawe uonje mautamu mpaka LYAMBA au vipi?Sawa...Nazisubiri bas
Hata kwa daladala we tumaHaya unifahamishe nikutumie by which means,ili nawe uonje mautamu mpaka LYAMBA au vipi?