Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,734
Wenzio wanajilipua tu Ki alshabaab yani
Mkuu umenenaWazee wetu zamani walikuwa na utaratibu wa kuwapeleka mabinti zao unyagoni na kweli tuliyaona matunda yake kwani mabinti wa zamani walikuwa wasafi na wenye kujistiri maungo yao......ilikuwa huwezi kujutia kulala na binti aliyepitia unyagoni.....lakini mabinti wa miaka hii ni kero badala ya raha pindi muwapo faragha.....na hii ni ishara kuwa kuna mahali tumekosea katika malezi ya mabinti wa sasa......
Huwa inashangaza unakuta mtu badala ya kutumia maji kujisafisha badala yake wanatumia makaratasi yanayoitwa toilet papers....sasa kwa akili ya kawaida ile karatasi inasafisha au inapakaza uchafu...!!.....
Sasa kwa akili ya kawaida kama binti anashindwa kuujali mguu wake unaonekana anaweza vipi kuutunza utupu wake usionekana.....???!!!
Na hata kama akiumwa kwani ni dhambi? Yeye mwenyewe ana uhakika hatapata kasoro adi kifo? Ata kifo chenyewe atakufaje?? Anasema non senseNinyi ndo mnapima kwa macho kwa hiyo miguu tu kuwa na mabaka ndo uhitimishe mtu anaumwa
Je wanaume wao huwa yanawatokea sehemu gani? Wengi wanakimbiliaga kujudge ARV na akati ye mwenyewe ukimwambia tukacheck anakata mawasliano mmxxxfyuuu shenzi zaoKuna mmoja aliniambia ukiona mwanamke anamabaka mabak Meusi Miguun tena mengi mengi ujue anatumia ARV
Atakuwa ye ana uhakika na maisha yake yajayoNa hata kama akiumwa kwani ni dhambi? Yeye mwenyewe ana uhakika hatapata kasoro adi kifo? Ata kifo chenyewe atakufaje?? Anasema non sense
Hapo ni kabla hata hajatongozwa lazima uthaminishe kwanza kila angle sasa nikikuta miguu ina mabakabaka nakimbia fasta.Ukiwa unaongea nae macho yanaangalia sura au miguu? Ukimpenda mshauri avae nguo ndefu.
Hahaaaaa...Hiyo kweli hatariMwanamke mmoja unakuta ana rangi tatu sura nyekundu mwili mweupe miguu miyeusi!!hatari
Mabaka mengine hata usungue na stealwire au msasa hayatokiduh ngoja niende kwa dulla muosha miguu
How sweet of you.Ukiwa unaongea nae macho yanaangalia sura au miguu? Ukimpenda mshauri avae nguo ndefu.
Mhhh hiyo inahitaji roho ngumu..Wenzio wanajilipua tu Ki alshabaab yani
Kama ni hivyo ni mwendo wa kukimbia tu.Kuna mmoja aliniambia ukiona mwanamke anamabaka mabak Meusi Miguun tena mengi mengi ujue anatumia ARV
Hujafa hujaumbika muombe sana Mungu wako na wewe usipate kilema watu wakakucheka hao wenzio hawakupenda kuwa hivyo. Unyanyapaa mbaya lakini malipo yake ni hapa hapa dunianiWadau,
Mwenzenu nikithaminisha msichana naangalia uso,wezere na miguu kwanza. Sasa kuna wengine usoni wamejipamba ni full kung'aa ila sasa miguu haiongopi. Unakuta mdada ana mabakabaka basi nikishaona hivyo tu mzuka wote unapotea nahisi huyo mtu atakua anaumwa.
Wenzangu sijui mnalionaga hili au ni mm tu.