Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,254
ukifika site itakua bora zaidi.Mwisho WA free k kwa mashangingi ni nini unajuwa?
ukifika site itakua bora zaidi.Mwisho WA free k kwa mashangingi ni nini unajuwa?
Lugha gongana. Ni wapi site ila kumbuka Mimi ni Mwanaume Na marinda bado hayajafumuliwa tangu nizaliweukifika site itakua bora zaidi.
Huwa napenda comments zako za kiutu uzima ila.....
UbarikiweUnaweza ukaendelea kuandika unachotaka kuandika....ndugu kuwa na amani....
Ubarikiwe
Kwa hyo ni kukimbia tu hakuna namna
Mabaka ni sign ya ukimwiUwiii wenye mabaka yetu tupite hivi.....
Tatizo liko wapi au kipi kigeni?Mabaka ni sign ya ukimwi
Magaga yanatokana na aina ya ngozi ngumu ya kwenye nyayo na wala si ugonjwa wala uchafu.Wadau mwenzenu nikithaminisha demu naangalia uso,wezere na miguu kwanza. Sasa kuna wengine usoni wamejipamba ni full kung'aa ila sasa miguu haiongopi. Unakuta mdada ana mabakabaka basi nikishaona hivyo tu mzuka wote unapotea nahisi huyo mtu atakua anaumwa. Wenzangu sijui mnalionaga hili au ni mm tu.
wanapotengeneza kucha na kuosha miguu watakupa data kamili.Lugha gongana. Ni wapi site ila kumbuka Mimi ni Mwanaume Na marinda bado hayajafumuliwa tangu nizaliwe
Tusipotumia toilet papers tutumie nini,ujitawaze na maji afu usijikaushe?Wazee wetu zamani walikuwa na utaratibu wa kuwapeleka mabinti zao unyagoni na kweli tuliyaona matunda yake kwani mabinti wa zamani walikuwa wasafi na wenye kujistiri maungo yao......ilikuwa huwezi kujutia kulala na binti aliyepitia unyagoni.....lakini mabinti wa miaka hii ni kero badala ya raha pindi muwapo faragha.....na hii ni ishara kuwa kuna mahali tumekosea katika malezi ya mabinti wa sasa......
Huwa inashangaza unakuta mtu badala ya kutumia maji kujisafisha badala yake wanatumia makaratasi yanayoitwa toilet papers....sasa kwa akili ya kawaida ile karatasi inasafisha au inapakaza uchafu...!!.....
Sasa kwa akili ya kawaida kama binti anashindwa kuujali mguu wake unaonekana anaweza vipi kuutunza utupu wake usionekana.....???!!!
wezekana ila si lazima. Na Mkanda wa jeshi haushambulii miguu kama ukiwahiwa. Ila Kaswende and the like can contribute much to mabakabaka miguuni they said.Na wengine waliugua Mkanda wa jeshi.........!