Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
Hata kwa daladala we tumaHaya unifahamishe nikutumie by which means,ili nawe uonje mautamu mpaka LYAMBA au vipi?
Hata kwa daladala we tumaHaya unifahamishe nikutumie by which means,ili nawe uonje mautamu mpaka LYAMBA au vipi?
Marehemu bibi yangu aliniambia sikuhizi maadili yamekwisha, kwanza mtoto wa kike hatakiwi kula mbele ya wanaume. Ni aibu kumuona mwanamke anakula. Wanawake walikula wote either jikoni au chumbani. Hata upewe kitu cha kula mtoto wa kike unakistiri mpaka utakapo pata faragha.
Bibi akaniambia lakini siku hizi mnakula barabarani, mtoto wa kike unapelekwa kwenye mgahawa unanunuliwa chips, utazilipaje kama sio kupelekwa guest house. Matokeo yake bikira mnaziachia huko huko.
My take unyago ulifundisha mengi.
Naomba nitoboe. Kuna vidonda tuvipatavyo wenye ukimwi. Wengi wanadhani kujichubua Kunaondoa hayo mabaka. Jamaa yupo katika UkimwiJaman mabaka mengine yanatokana na utundu walivokuwa wadogo,walikimbizana na ile michezo ya kitoto wanaumia na vidonda au michubuko ikipona wengine hubak na alama..Kibaya zaid hamjui kutofautisha mabaka,makovu na alama za kuumia.Ukiona makovu maybe aliumia kama vile kuchanika na kukipona ndo kunabaki kovu,ukiona alama jua aliumia labda kawaida akatokwa na kidonda ndo kilivopona kikaacha alama nyeusi,ukiona hayo mabaka labda ana ugonjwa wa ngozi..Hata watu wenye sickle cell anaemia wanatokwaga na mabaka...Jifunzeni kutofautisha Na pia kaka kama hujampenda huyo dada nenda kimya tu kwani hii mialama miguuni wengine utoton tumeishi maisha ya uswahili magumu plus vipigo vya mama wa kambo...Hatukupenda.
Mdharau mwanamke asiejikubali kwa kujichubua mwisho anakuwa na miguu meupee but alama za kuumia hazitoki ndo anakuwq ka ndizi mzuzu za kubanika!ni hayo tu
KWA bahati mbaya hakufuata maagizo ya bibi Na bikra iliondoka guest house akiwa Na miaka 15. Sasa huko uingereza anaposomea medicine at 30 years hakumbuki ni chokola yupi aliitoaBila ya shaka wewe umepitia unyago.....
KWA bahati mbaya hakufuata maagizo ya bibi Na bikra iliondoka guest house akiwa Na miaka 15. Sasa huko uingereza anaposomea medicine at 30 years hakumbuki ni chokola yupi aliitoa
Acha tu tena ilikuwa boarding school xo mi nlifumba macho coz nlikuwa nafuliwa mpaka bei ya sabuni nlikuwa sijuagi. Nikila msosi anaondoka na vyombo kwenda kuosha....Paka madonda??????wanaume nyie ni nyoko haki tena hahahahahahahahahha
Usiende maana aliyeanzisha sred ndiye huyo, anataka uende akikusugua hiyo miguu uhanga ukupande ile apate free k. Maana anajua ukusuguliwa miguu uhanga unakupanda hakuna mfanoweduh ngoja niende kwa dulla muosha miguu
Kama ulitaka yeye ungemfuata KWA Waziri Mkuu KWA English (PM). PoleSamahani mkuu....lakini sidhani kama ilikupasa wewe ujibu hilo swali.....!!
na wanasugua vizuri hao yaani waacheni kina dulla waosha miguu ni hatari sana.Usiende maana aliyeanzisha sred ndiye huyo, anataka uende akikusugua hiyo miguu uhanga ukupande ile apate free k. Maana anajua ukusuguliwa miguu uhanga unakupanda hakuna mfanowe
Hapo sasa ndio unponiangusha kwa majibu holelaholela,mtoto mzuri kama wewe hustahili kutamak hivo.Just be serious upate pipi mti.Hata kwa daladala we tuma
Kama ulitaka yeye ungemfuata KWA Waziri Mkuu KWA English (PM). Pole
Nadhani itabidi nijifunze kufanya kazi hiyo ila mapato yake unayajuwa?na wanasugua vizuri hao yaani waacheni kina dulla waosha miguu ni hatari sana.
After posting MZEE expect anything otherwise try to use prime ministerAsante nimeshapoa.....
mapato mazuri maanake mie nikienda na 10000 naoshwa na kupakwa rangi kabisa na vifaa kazi siyo vya gharama, hivyo mapato nina imani hakosi faida ya 50-80k per day.Nadhani itabidi nijifunze kufanya kazi hiyo ila mapato yake unayajuwa?
After posting MZEE expect anything otherwise try to use prime minister
Hata kwa daladala we tuma
Badala ya kusema Western Union umekazania daladala,haya basi wewe endelea kupanda daladala halafu jamaa waje wakumwagie urojo kwenye TIGO,maana hamna namna na mwagiwe urojo tuuu.Hata kwa daladala we tuma
Mwisho WA free k kwa mashangingi ni nini unajuwa?mapato mazuri maanake mie nikienda na 10000 naoshwa na kupakwa rangi kabisa na vifaa kazi siyo vya gharama, hivyo mapato nina imani hakosi faida ya 50-80k per day.
Huwa napenda comments zako za kiutu uzima ila.....Nimekuelewa ndugu.....