Naogopa kuoa baada ya kushuhudia hiki kisa…

Naogopa kuoa baada ya kushuhudia hiki kisa…

Kununanua kwenye mahusiano sio kuzuri, tafuta namna muongee.
Sometimes ni stress za maisha zinafanya uchukie mahusiano yako lakini kama mwenza wako atakua muelewa mtayamaliza tu .

Na pia kaeni mzoeane kidogo, tatizo mnataka mahusiano serious na mnakua serious kwelikweli aisee.
 
Boss kukataa kuoa sio udhaifu wala kuogopa majukumu bali ni maamuzi binafsi ya mtu hivyo basi unaweza usioe na ukapitia changamoto nyengine za maisha ambazo ni kubwa kuliko hizo za ndoa... Ndoa sio kipimo cha akili useme labda ukioa akili inatanuka bali tunaoa kutokana na upweke tulionao, mifumo ya dini zetu, na historia ya familia zetu... Kuna watu hawajaoa na wana majukumu makubwa zaidi kuliko hao walio kwenye ndoa, Kuna muda utafika utaona upo katikati ya hizo factor hapo juu so itakulazimu tu uoe ingawa Que sequence za ndoa unazijua
mwanaume hutaki kuoa unataka kuolewa?
 
Naomba nimsaidie kujibu hili swali
N~Neno la Mungu,neno la busara na hekima lijae kwa wingi kwenu.
D~Daima mtegemee Mungu
O~ Ombaneni msamaha mnapokeseana
A~ Amani itawale maisha yenu siku zote,Amani ndani ya ndoa yenu ndio iwe kipaumbele namba moja usikubali amani itoweke ipamban
Unajua maana ya neno ndoa boss?

ie kwa gharama zote ndipo utafurahia maisha ya ndoa
 
Bonge la hoja wakiichukua hii watu wanaoingia kwenye ndoa wataishi vizuri sana na wenza wao.

Unakuta mdada/mkaka anatumika kila aina ya ushawishi kubembelezwa penzi mpk anatuma watu wamsaidie. Huu ndiyo huwa mwanzo wa kuishi na mtu asiyekupenda
mwanaume unatakiwa uwe real kama huna gari sema kwa sauti mi sina gari, Sina pesa, ndo nimeanza maisha miaka yangu 24 nalala chini kwasababu ndo naanza kutengeneza msingi wa maisha yangu, kipato bado ni kidogo bado najitafuta elezea mwanamke ukweli akiamua kukupenda atakua amekupenda kwa uhalisia wako na mtaishi fresh akiamua akukatae basi acha akukatae kuliko ukamshawishi kwa kwa vitu usivyoweza kuvimudu hutaishi nae kwa amani
 
Jirani yangu au niseme mpangaji mwenzangu baba shadya mkewe alichukua Kila kitu mbele ya macho yangu jamaa akiwa kazini siku ya match ya Simba na Yanga (jamaa na mpira dam dam)mke akajua lazima awe kwenye mechi jamaa anarudi nyumbani nilimsikia TU kapiga mluzi mmoja hatari hadi Leo anaishi kwa brother wake
Adam juzi kapoteza kesi mke kaondoka na nyumba plus watoto jamaa kapanga kama Mimi hapa ila ni mvumilivu maana anasema ana amani kuliko ilivyokuwa
Pamoja na hayo wanawake nao Wana madhira makubwa wanapitia kwenye ndoa kama ilivyo wanaume basi Mungu akikujalia furaha kumbuka kuwafariji Hawa wanaopambana
Pamoja na mifano hiyo ni maombi yangu nami nipate mke kabla huu mwaka haujaisha
 
Naomba nimsaidie kujibu hili swali
N~Neno la Mungu,neno la busara na hekima lijae kwa wingi kwenu.
D~Daima mtegemee Mungu
O~ Ombaneni msamaha mnapokeseana
A~ Amani itawale maisha yenu siku zote,Amani ndani ya ndoa yenu ndio iwe kipaumbele namba moja usikubali amani itoweke ipamban

ie kwa gharama zote ndipo utafurahia maisha ya ndoa
Sawa
 
Ndoa za ckuiz zimejaa maghilibu ila hatuaezi kataa tamaa ya kuoa.
 
Nina jirani yangu ana mke wake wana mtoto mmoja wa kiume miaka 2 hivi. Jamaa mkimya sana na mke wake ana ukimya wa kuigiza akiwa na watu wengine lakini akiwa na jamaa hasa hapo nyumbani huongea sana na kumfanyia visa mshikaji, sometimes unasikia jamaa analalamika kwa nini mkewe hajapika na pesa kaacha,anamkamata na sms za kutongozwa anasamehe, jamaa hana mengi kwa muonekano lakini anaonekana jasiri sana.

Sasa juzi kati hapa tulisikia purukushani asubuhi kumbe jamaa aliamua kumshushia mkewe kipigo, kwa taarifa alimpiga teke la uso mke akazimia then akatupa macho juu kama mtu anaepigania roho, jamaa akaanza kumpa first aid mwenyewe demu wake akaamka, jioni saa kumi hivi kaja kukamatwa na migambo kalala sero siku tatu siku ya nne mke kaja na shemeji yake (mme wa dada yake aliepigwa) mke akawambia police sitaki kesi na mme wangu naomba mfute, wakakataa wakasema nendeni mahakamani kufika mahakamani mke kasema hivo hivo kisha akaongeza kwa kusema ambacho hataki ni kukaa na jamaa tena! So jamaa kakubali kumwachia chumba sasa hivi hana pa kulala anadoea kwa washikaji huku akijipanga.

Kwa maelezo ya jamaa anasema tangu amuoe mke wake amekuwa ni janga la ndani amevumilia sana na hata siku anampiga hakujuwa imetokea vipi anajutia sana. Kisa cha kumpiga mke kasema jamaa alimuomba pesa alizompa jana yake (siku moja kabla) kwa hiyo mwanamke hakutaka kumpa kwa sababu hakujuwa hizo pesa anapeleka wapi? Na jamaa anasemamke wake amekuwa na dharau halafu hana mapenzi ya dhati na ni yule mtu wa pesa mbele licha ya jamaa kunitahidi kutoa huduma.

Binafsi (mimi mwandishi) nimeona mengi sana nataka nisemee upande mmoja wa wanaume wanao nyanyaswa na wake zao,kiukweli wananikatisha tamaa ya kuja kuoa.

Inauma sana, jamani ebu kama mtu humpendi bora ukaachana nae sio kumfanyia visa anakupiga mwishowe akuuwe akaozee jela sometimes hasira hazipigi hodi.
mwanaume haogopi vita oa fasta.
kuna heshima tofauti sana kwenye jamii kwa mwanaume aliyeoa na asiyeoa; unaweza tumwa soda na mke wa mdogo wako!
 
sisi tuliooa miaka mingi iliyopita tunapenda kukushauri kijana, oa mke, ndoa ina raha kubwa kuliko ubachela. hata uwe na wanawake wengi magelofrendi hawawezi kukupatia campany na raha utakazozipata kwa soulmate ambaye ni mke. huyo ni mtu unayepanga naye maisha ya pamoja.

nakubaliana kwamba, ukienda kichwakichwa unaweza kuoa janga likakusumbua sana, hiyo ni kwa wachache, ila kwa majority mke ni kitu cha thamani sana. shida ni kwamba, kama hautaoa dogo utaolewa. sasa chagua moja.
 
wakishua Kama hivi ee?
pt_6848274257676943575234_0_02ecebbf19f2bf56d12f0f8a62f18788.jpg

Wazazi wetu wakati wanatuzaa kwani hawakuwahi kusikia kuhusu stories mbaya zifanyazwo na watoto?

Lkn tukazaliwa.. na hatujawa miongoni mwa hao watoto wabaya.

Na wewe mtoa mada, marry ur bestfriend.. acha kuangalia ndoa za wengine ndio zikutishe. Ina maana we ktk ukoo wako mzima hamna ndoa njema??

Nyie team kataa ndoa kuna muda kama dishi zinayumba 😇😂😂🤣
 
hiyo "sawa" ndo maana ya ndoa?
Boss nilhitaj kujua uelewa wako bt seems lyk haujui na ume clarify kama haujui so that's enough coz hatuwez ku-argue kitu ambacho wew haujui na badala yake tutabishana and sisi wote tunajua kama sio kitu kizuri
 
Back
Top Bottom