Naogopa kuoa baada ya kushuhudia hiki kisa…

Naogopa kuoa baada ya kushuhudia hiki kisa…

Kama una mpango wa kuwa padre, basi na usioe. Lakini kama utakuwa mtu wa kawaida, na hauna dosari yoyote (wewe ni rijali), ni lazima uoe. Watu wanafikiri kuoa ni option, la hasha, kuoa ni lazima! Labda uende kwenye daraja nililotaja hapo juu (upadre), ndipo utakuwa exempted kwenye ndoa (kuoa)!

Unakumbuka maneno ambayo Mungu aliwaambia Adam na Hawa mara tu baada ya kuwashusha pale bustani ya Edeni? Nakukumbusha; aliwaambia, zaeni mkaongezeke, mkaijaze dunia. Na ndicho kilichotokea. Kuoa, dhumuni lake kubwa ni kupata watoto, na si vinginevyo (kama wengi wanavyochukulia)

Unaweza kusema, kwani kupata watoto mpaka nioe? Si naweza kuzaa tu na mwanamke halafu nikachukua watoto! Jibu ni kwamba, hao watakuwa sio watoto halali, maana umezini!

Sisi sote ni zao la Adam na Hawa, sasa hebu fikiria, nao wangesema kila mtu aishi kivyake; mwanaume analala peke yake na mwanamke peke yake, labda hata nyumba tofauti! Je, sisi leo tungekuwepo?

Unachojaribu kufanya ni ubinafsi (selfishness), unahofia gharama na mikwaruzano mingine katika maisha (kama ilivyotokea kwa jamaa aliyeleta uzi), hizi ni changamoto za kawaida kwenye maisha, tunapaswa kukabiliana nazo. Oa, pata watoto, timiza jukumu la kuilea familia kama baba. Mbona mimi nafurahia sana kuitwa baba wa familia, baba mwenye mji, nk. Wewe hufurahii?!
Huo ubinafsi namfanyia nani, kama watoto wangu nawalea mwenyewe na hawapati shida. Acheni kuogopesha vijana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiishi kwenye nyumba kubwa ndio hamna hizo purukushani.??
Cha muhimu hpo ni kuwa na michuzi mingi ukishaoa ukamuweka ndani then tafuta mpango kando mmoja aliyetulia bas umemaliza
Umeikosa point yangu. Katika maisha kunakitu kinaitwa nafasi binafsi. Ni nafasi ya mtu nyumbani kwake ya kupumua, kurelax kuwa pekee ili kupunguza stress za siku. UKiishi katika chumba tu huwa huna nafasi ya personal space daima mko karibu karibu mno na mwenzako jambo ambalo sio maridhawa kila wakati, ukiwa na nyumba angalau pakitokea purukushani unajivuta ukumbini unamuacha mwenzio sehemu nyengine ili nyote muweza ku cool off. Solution ya kuishi chumba kimoja ni kutoka nje, na ukitoka na mahakamaki yako hujui utakachokifanya au utaelekea wapi bar, danguro, nyumba ndogo etc.
 
Sasa chief nimekupata vzuri sana
 
Mkituonaga sisi mabachela si mnatupaga majina ya hovyo mara wahuni, wabinafsi, mara mahanithi n.k... Kumbe hamjui kwamba hizo fujo za ndoani tunaleta sisi.
 
Kama una mpango wa kuwa padre, basi na usioe. Lakini kama utakuwa mtu wa kawaida, na hauna dosari yoyote (wewe ni rijali), ni lazima uoe. Watu wanafikiri kuoa ni option, la hasha, kuoa ni lazima! Labda uende kwenye daraja nililotaja hapo juu (upadre), ndipo utakuwa exempted kwenye ndoa (kuoa)!

Unakumbuka maneno ambayo Mungu aliwaambia Adam na Hawa mara tu baada ya kuwashusha pale bustani ya Edeni? Nakukumbusha; aliwaambia, zaeni mkaongezeke, mkaijaze dunia. Na ndicho kilichotokea. Kuoa, dhumuni lake kubwa ni kupata watoto, na si vinginevyo (kama wengi wanavyochukulia)

Unaweza kusema, kwani kupata watoto mpaka nioe? Si naweza kuzaa tu na mwanamke halafu nikachukua watoto! Jibu ni kwamba, hao watakuwa sio watoto halali, maana umezini!

Sisi sote ni zao la Adam na Hawa, sasa hebu fikiria, nao wangesema kila mtu aishi kivyake; mwanaume analala peke yake na mwanamke peke yake, labda hata nyumba tofauti! Je, sisi leo tungekuwepo?

Unachojaribu kufanya ni ubinafsi (selfishness), unahofia gharama na mikwaruzano mingine katika maisha (kama ilivyotokea kwa jamaa aliyeleta uzi), hizi ni changamoto za kawaida kwenye maisha, tunapaswa kukabiliana nazo. Oa, pata watoto, timiza jukumu la kuilea familia kama baba. Mbona mimi nafurahia sana kuitwa baba wa familia, baba mwenye mji, nk. Wewe hufurahii?!

1 Tim 3:2-3​

Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kwanini wanawake wengi mna-support sana ndoa? Sijawahi ona mwanamke humu jf akiiponda ndoa Aaliyyah
Wapo wasiopenda japo si wenginnafikir ni nature pia ndoa ni stara Kwa mwanamke,
Binafs naona ndoa ni muhimu katika ujenzi wa familia Bora na pia sisi ni wadhaifu sana bila nyie hatujakamilika
 
1 Tim 3:2-3​

Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha
1 Wakorintho 7

8Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo. 9 Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.

Mtume Paulo hakuoa ili apate muda mzuri wa kumtumikia Mungu. Je, vipi kwa padre na askofu?
 
Paulo alikuwa jambazi tu na umri wa Kujenga familia ulishapita, hizo ni opinion za Paulo tu, siyo bwana.

Soma Biblia vizuri, ni lazima kwa Askofu kuowa.
 
Oa rafiki yako... mchumba mnayelewana.. simply oa utayeweza kummudu & kuvumiliana mapungufu yenu.
Sio uoe kisa chura af useme tabia utavumilia.. mwishowe utachoka kuvumilia tabia zake mbaya mtaishia kuwa na ndoa chungu.
Vijana wa siku hizi mna misemo 🤔🤔🤔

Haya mwanangu... Ahsante!
 
Paulo alikuwa jambazi tu na umri wa Kujenga familia ulishapita, hizo ni opinion za Paulo tu, siyo bwana.

Soma Biblia vizuri, ni lazima kwa Askofu kuowa.
Nakubaliana na wewe kuwa mtume Paulo kabla hajaongoka alikuwa jambazi. Lakini baada ya kutokewa na BWANA, alikuwa mtakatifu na kuamua kumhuburi Kristo Yesu. Kutokuoa kwake kulitokana na kuwa muda mwingi alitembea huku na huko kumhubiri Kristo, na sio kweli kuwa umri ulimtupa mkono. Ni mapenzi yake kwa Kristo ndiyo yalimfanya aache kuoa. Rejea nyaraka mbalimbali alizowaandikia mataifa, na zote hizo hakuziandika akiwa mahali pamoja; aliziandika akiwa mahali husika. Je, angeoa angeweza kusafiri na familia kote huko? Kwa upande wa mapadre na maoskofu, nao wako mguu mmoja ndani na mwingine nje; muda wowote wakipangiwa kwenda kutoa huduma za kiroho mahala popote (duniani), wapo tayari kuondoka hata iwe usiku wa manane! Hawapaswi kuwa na kikwazo chochote katika kutoa huduma. Ili kuwezesha haya yote, ndipo wanapaswa kutokuoa ili waweze kwenda popote na muda wowote kama alivyofanya mtume Paulo. Nadhani sasa unaweza kuona logic kwanini mapadre na maaskofu hawaoi!
 
1 Tim 3:1-16​

Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema. Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha; mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu; (yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje Kanisa la Mungu?) Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna akaanguka katika hukumu ya Ibilisi. Tena imempasa kushuhudiwa mema na watu walio nje; ili asianguke katika lawama na mtego wa Ibilisi. Vivyo hivyo mashemasi8 na wawe wastahivu; si wenye kauli mbili, si watu wa kutumia mvinyo sana, si watu wanaotamani fedha ya aibu; wakiishika siri ya imani katika dhamiri safi. Hawa pia na wajaribiwe kwanza; baadaye waitende kazi ya shemasi, wakiisha kuonekana kuwa hawana hatia. Vivyo hivyo wake zao na wawe wastahivu; si wasingiziaji; watu wa kiasi, waaminifu katika mambo yote. Mashemasi na wawe waume wa mke mmoja, wakiwasimamia watoto wao vizuri, na nyumba zao. Kwa maana watendao vema kazi ya shemasi hujipatia daraja nzuri, na ujasiri mwingi katika imani iliyo katika Kristo Yesu. Nakuandikia hayo nikitaraji kuja kwako hivi karibu. Lakini nikikawia, upate kujua jinsi iwapasavyo watu kuenenda katika nyumba ya Mungu, iliyo kanisa la Mungu aliye hai, nguzo na msingi wa kweli. Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu. Mungu alidhihirishwa katika mwili, Akajulika kuwa na haki katika roho, Akaonekana na malaika, Akahubiriwa katika mataifa, Akaaminiwa katika ulimwengu, Akachukuliwa juu katika utukufu.
 
1 Tim 3:1-16​

Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema. Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha; mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu; (yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje Kanisa la Mungu?) Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna akaanguka katika hukumu ya Ibilisi. Tena imempasa kushuhudiwa mema na watu walio nje; ili asianguke katika lawama na mtego wa Ibilisi. Vivyo hivyo mashemasi8 na wawe wastahivu; si wenye kauli mbili, si watu wa kutumia mvinyo sana, si watu wanaotamani fedha ya aibu; wakiishika siri ya imani katika dhamiri safi. Hawa pia na wajaribiwe kwanza; baadaye waitende kazi ya shemasi, wakiisha kuonekana kuwa hawana hatia. Vivyo hivyo wake zao na wawe wastahivu; si wasingiziaji; watu wa kiasi, waaminifu katika mambo yote. Mashemasi na wawe waume wa mke mmoja, wakiwasimamia watoto wao vizuri, na nyumba zao. Kwa maana watendao vema kazi ya shemasi hujipatia daraja nzuri, na ujasiri mwingi katika imani iliyo katika Kristo Yesu. Nakuandikia hayo nikitaraji kuja kwako hivi karibu. Lakini nikikawia, upate kujua jinsi iwapasavyo watu kuenenda katika nyumba ya Mungu, iliyo kanisa la Mungu aliye hai, nguzo na msingi wa kweli. Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu. Mungu alidhihirishwa katika mwili, Akajulika kuwa na haki katika roho, Akaonekana na malaika, Akahubiriwa katika mataifa, Akaaminiwa katika ulimwengu, Akachukuliwa juu katik
Hebu tuangalie historia fupi ya wafuasi waliotumwa na BWANA, kama huko walikoenda walienda na familia! Tukianza na wale 11 (baada ya Yuda kujitoa), huko walikoenda walienda na familia? Tito alikoenda kuhubiri, alienda na familia? Yona alipotumwa kwenda kuhubiri Ninawi (alimezwa na samaki na baadaye kumtapika), alienda na familia? Hapa dhana ya kutokuoa inakuja kwa ajili ya kumtumikia BWANA kikamilifu. Hata huyo Timotheo unayemquote naye hayo ni mawazo yake tu!
 
Hizi ngonjera zako zinasaidia nini wakati Biblia imeweka wazi kwamba lazima waowe?
 
Nina jirani yangu ana mke wake wana mtoto mmoja wa kiume miaka 2 hivi. Jamaa mkimya sana na mke wake ana ukimya wa kuigiza akiwa na watu wengine lakini akiwa na jamaa hasa hapo nyumbani huongea sana na kumfanyia visa mshikaji, sometimes unasikia jamaa analalamika kwa nini mkewe hajapika na pesa kaacha,anamkamata na sms za kutongozwa anasamehe, jamaa hana mengi kwa muonekano lakini anaonekana jasiri sana.

Sasa juzi kati hapa tulisikia purukushani asubuhi kumbe jamaa aliamua kumshushia mkewe kipigo, kwa taarifa alimpiga teke la uso mke akazimia then akatupa macho juu kama mtu anaepigania roho, jamaa akaanza kumpa first aid mwenyewe demu wake akaamka, jioni saa kumi hivi kaja kukamatwa na migambo kalala sero siku tatu siku ya nne mke kaja na shemeji yake (mme wa dada yake aliepigwa) mke akawambia police sitaki kesi na mme wangu naomba mfute, wakakataa wakasema nendeni mahakamani kufika mahakamani mke kasema hivo hivo kisha akaongeza kwa kusema ambacho hataki ni kukaa na jamaa tena! So jamaa kakubali kumwachia chumba sasa hivi hana pa kulala anadoea kwa washikaji huku akijipanga.

Kwa maelezo ya jamaa anasema tangu amuoe mke wake amekuwa ni janga la ndani amevumilia sana na hata siku anampiga hakujuwa imetokea vipi anajutia sana. Kisa cha kumpiga mke kasema jamaa alimuomba pesa alizompa jana yake (siku moja kabla) kwa hiyo mwanamke hakutaka kumpa kwa sababu hakujuwa hizo pesa anapeleka wapi? Na jamaa anasemamke wake amekuwa na dharau halafu hana mapenzi ya dhati na ni yule mtu wa pesa mbele licha ya jamaa kunitahidi kutoa huduma.

Binafsi (mimi mwandishi) nimeona mengi sana nataka nisemee upande mmoja wa wanaume wanao nyanyaswa na wake zao,kiukweli wananikatisha tamaa ya kuja kuoa.

Inauma sana, jamani ebu kama mtu humpendi bora ukaachana nae sio kumfanyia visa anakupiga mwishowe akuuwe akaozee jela sometimes hasira hazipigi hodi.
Kama kuoa na tatizo basi olewa.
 
Back
Top Bottom