Naogopa kuoa baada ya kushuhudia hiki kisa…

Wazazi wetu wakati wanatuzaa kwani hawakuwahi kusikia kuhusu stories mbaya zifanyazwo na watoto?

Lkn tukazaliwa.. na hatujawa miongoni mwa hao watoto wabaya.

Na wewe mtoa mada, marry ur bestfriend.. acha kuangalia ndoa za wengine ndio zikutishe. Ina maana we ktk ukoo wako mzima hamna ndoa njema??

Nyie team kataa ndoa kuna muda kama dishi zinayumba 😇😂😂🤣
Umeongea vzr umeharibu mwishoni kwan lazima useme dishi zetu zimeyumba 🤣
 
Bado hujasikia mazito. Hilo dogo limekuogopesha hivyo? Acha uoga
 
Wazazi wetu wakati wanatuzaa kwani hawakuwahi kusikia kuhusu stories mbaya zifanyazwo na watoto?

Lkn tukazaliwa.. na hatujawa miongoni mwa hao watoto wabaya.

Na wewe mtoa mada, marry ur bestfriend.. acha kuangalia ndoa za wengine ndio zikutishe. Ina maana we ktk ukoo wako mzima hamna ndoa njema??

Nyie team kataa ndoa kuna muda kama dishi zinayumba 😇😂😂🤣
Una positive attitude. I will 'meri' you my best friend.
 
Mbona sababu za kitoto sana hizi ukikua utaona kwamba Sio wanawake wote waliopata malezi mabovu.
Wapo wanawake wema wengi tu usiache kujaribu utampata tu aliyesahihi.
 
Nice guy/wakimya/wapole huwaga hawanaga sana bahati ya kupata wanawake wazuri. Dada zetu wanapendaga wahuni, playboy, f*ck boy hawa huwaga wanawapenda sana,ila huwaga wanawakumbuka manice guy baada ya kutendwa na kutumika sana.
 
hakikisha unaoa mwanamke ambae anakupenda, kama hujapata usioe
Hapa nakazia!!, usilazimishe kuoa eti kisa Umri, shinikizo la familia!!, au kuona wengine wa umri wako wameoa, just wait for your right one! ukilazimisha lazima ukutane na visanga
 
Huez ku jump kwenye conclusion that way
Nina jirani yangu ana mke wake wana mtoto mmoja wa kiume miaka 2 hivi. Jamaa mkimya sana na mke wake ana ukimya wa kuigiza akiwa na watu wengine lakini akiwa na jamaa hasa hapo nyumbani huongea sana na kumfanyia visa mshikaji, sometimes unasikia jamaa analalamika kwa nini mkewe hajapika na pesa kaacha,anamkamata na sms za kutongozwa anasamehe, jamaa hana mengi kwa muonekano lakini anaonekana jasiri sana.

Sasa juzi kati hapa tulisikia purukushani asubuhi kumbe jamaa aliamua kumshushia mkewe kipigo, kwa taarifa alimpiga teke la uso mke akazimia then akatupa macho juu kama mtu anaepigania roho, jamaa akaanza kumpa first aid mwenyewe demu wake akaamka, jioni saa kumi hivi kaja kukamatwa na migambo kalala sero siku tatu siku ya nne mke kaja na shemeji yake (mme wa dada yake aliepigwa) mke akawambia police sitaki kesi na mme wangu naomba mfute, wakakataa wakasema nendeni mahakamani kufika mahakamani mke kasema hivo hivo kisha akaongeza kwa kusema ambacho hataki ni kukaa na jamaa tena! So jamaa kakubali kumwachia chumba sasa hivi hana pa kulala anadoea kwa washikaji huku akijipanga.

Kwa maelezo ya jamaa anasema tangu amuoe mke wake amekuwa ni janga la ndani amevumilia sana na hata siku anampiga hakujuwa imetokea vipi anajutia sana. Kisa cha kumpiga mke kasema jamaa alimuomba pesa alizompa jana yake (siku moja kabla) kwa hiyo mwanamke hakutaka kumpa kwa sababu hakujuwa hizo pesa anapeleka wapi? Na jamaa anasemamke wake amekuwa na dharau halafu hana mapenzi ya dhati na ni yule mtu wa pesa mbele licha ya jamaa kunitahidi kutoa huduma.

Binafsi (mimi mwandishi) nimeona mengi sana nataka nisemee upande mmoja wa wanaume wanao nyanyaswa na wake zao,kiukweli wananikatisha tamaa ya kuja kuoa.

Inauma sana, jamani ebu kama mtu humpendi bora ukaachana nae sio kumfanyia visa anakupiga mwishowe akuuwe akaozee jela sometimes hasira hazipigi hodi.
 
Wazazi wetu wakati wanatuzaa kwani hawakuwahi kusikia kuhusu stories mbaya zifanyazwo na watoto?

Lkn tukazaliwa.. na hatujawa miongoni mwa hao watoto wabaya.

Na wewe mtoa mada, marry ur bestfriend.. acha kuangalia ndoa za wengine ndio zikutishe. Ina maana we ktk ukoo wako mzima hamna ndoa njema??

Nyie team kataa ndoa kuna muda kama dishi zinayumba 😇😂😂🤣
Kuna wakati una akili hadi unatisha.
Chukua maua yako
 
Achana na ndoa kazana kuujenga uchumi wako na Afya ya akili yako, kwa ulivyo sasa na uhakika 100% hauna uwezo wa kuhandle changamoto za ndoa bali kufuata mkumbo kama ulivyoogopa ndoa ya jiran yako basi hata ya mbeleni bado hauna nguvu za kuyaface, hivyo achana na ndoa kuna mengi ya kufanya.

Imefika mahala watu mmeaminishwa kuwa dunian ukishafanikiwa kufikisha umri fulan basi uoe ama kuolewa which is Nonsense, tusiishi kwa kukalili, haya mambo ndio yanayoharibu maisha na maendeleo ktk jamii kisa kuiga iga.

Tafuta sana pesa, mke utakutana nae huko ktk harakati za Utajiri.
 
Mwanaume ukisema hutaki/unaogopa kuoa kuna mawili utakua siyo rizki unasubiri kuolewa au we mwenyewe ni mtoto mchelemchele unaogopa majukumu.

Mwanaume ikifika wakat inatakiwa uanzishe familia haijalishi ulishuhudia mangapi kwenye ndoa za wenzako, Kama umeona mabaya basi zipo pia ndoa ambazo watu wamedumu na wanaishi kwa amani japo changamoto zipo kwakua binadam hamuwez kukaa muda wote mkiwa mnaelewana tu

Sasa usichague upande mmoja wa ubaya wa ndoa yapo mema mengi pia .

Cha muhimu uwe mwanaume kweli na kabla hujaoa hakikisha usilazimishe mapenzi kwa mwanamke, usitumie nguvu kubwa kumshawishi mwanamke awe na wewe maana kama ulitumia pesa siku pesa zikiisha atakuzingua tu, hakikisha unaoa mwanamke ambae anakupenda, kama hujapata usioe.

lakin cha muhimu pia uwe na maamuzi magumu ukiona imefika mwisho usibembeleze ndoa achana nae.c
Boss kukataa kuoa sio udhaifu wala kuogopa majukumu bali ni maamuzi binafsi ya mtu hivyo basi unaweza usioe na ukapitia changamoto nyengine za maisha ambazo ni kubwa kuliko hizo za ndoa... Ndoa sio kipimo cha akili useme labda ukioa akili inatanuka bali tunaoa kutokana na upweke tulionao, mifumo ya dini zetu, na historia ya familia zetu... Kuna watu hawajaoa na wana majukumu makubwa zaidi kuliko hao walio kwenye ndoa, Kuna muda utafika utaona upo katikati ya hizo factor hapo juu so itakulazimu tu uoe ingawa Que sequence za ndoa unazijua
 
Nina jirani yangu ana mke wake wana mtoto mmoja wa kiume miaka 2 hivi. Jamaa mkimya sana na mke wake ana ukimya wa kuigiza akiwa na watu wengine lakini akiwa na jamaa hasa hapo nyumbani huongea sana na kumfanyia visa mshikaji, sometimes unasikia jamaa analalamika kwa nini mkewe hajapika na pesa kaacha,anamkamata na sms za kutongozwa anasamehe, jamaa hana mengi kwa muonekano lakini anaonekana jasiri sana.

Sasa juzi kati hapa tulisikia purukushani asubuhi kumbe jamaa aliamua kumshushia mkewe kipigo, kwa taarifa alimpiga teke la uso mke akazimia then akatupa macho juu kama mtu anaepigania roho, jamaa akaanza kumpa first aid mwenyewe demu wake akaamka, jioni saa kumi hivi kaja kukamatwa na migambo kalala sero siku tatu siku ya nne mke kaja na shemeji yake (mme wa dada yake aliepigwa) mke akawambia police sitaki kesi na mme wangu naomba mfute, wakakataa wakasema nendeni mahakamani kufika mahakamani mke kasema hivo hivo kisha akaongeza kwa kusema ambacho hataki ni kukaa na jamaa tena! So jamaa kakubali kumwachia chumba sasa hivi hana pa kulala anadoea kwa washikaji huku akijipanga.

Kwa maelezo ya jamaa anasema tangu amuoe mke wake amekuwa ni janga la ndani amevumilia sana na hata siku anampiga hakujuwa imetokea vipi anajutia sana. Kisa cha kumpiga mke kasema jamaa alimuomba pesa alizompa jana yake (siku moja kabla) kwa hiyo mwanamke hakutaka kumpa kwa sababu hakujuwa hizo pesa anapeleka wapi? Na jamaa anasemamke wake amekuwa na dharau halafu hana mapenzi ya dhati na ni yule mtu wa pesa mbele licha ya jamaa kunitahidi kutoa huduma.

Binafsi (mimi mwandishi) nimeona mengi sana nataka nisemee upande mmoja wa wanaume wanao nyanyaswa na wake zao,kiukweli wananikatisha tamaa ya kuja kuoa.

Inauma sana, jamani ebu kama mtu humpendi bora ukaachana nae sio kumfanyia visa anakupiga mwishowe akuuwe akaozee jela sometimes hasira hazipigi hodi.
Tahadhari ya mwanzo juu ya suali la ndoa ni kuwa ikiwa unaweza kukodi chumba tu na sio nyumba basi usioe na wala usiishi na mwanamke wako. Kuishi katika chumba kimoja cha kukodi na mke/girlfriend ni kujitafutia pressure bure. Maisha ya chumba kimoja ni maisha ya single person.
 
Back
Top Bottom