Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,968
- 210,381
Watoto wadogo hawawezi kuelewa Mpaji Mungu Good VisionPili mwanaume hahitaji motivesheni kufyeka pori nene
Watoto wadogo hawawezi kuelewa Mpaji Mungu Good VisionPili mwanaume hahitaji motivesheni kufyeka pori nene
Mna maana gani na hao nice guy?Nice guy/wakimya/wapole huwaga hawanaga sana bahati ya kupata wanawake wazuri. Dada zetu wanapendaga wahuni, playboy, f*ck boy hawa huwaga wanawapenda sana,ila huwaga wanawakumbuka manice guy baada ya kutendwa na kutumika sana.
Ninakuelewa D.Watoto wadogo hawawezi kuelewa Mpaji Mungu Good Vision
Kosa zito kwenye NDOA ni usaliti tuBado hujasikia mazito. Hilo dogo limekuogopesha hivyo? Acha uoga
Kuna wengine ni wapole na wakimya ila ni wababe vibaya mno hujawahi ona😅Nice guy/wakimya/wapole huwaga hawanaga sana bahati ya kupata wanawake wazuri. Dada zetu wanapendaga wahuni, playboy, f*ck boy hawa huwaga wanawapenda sana,ila huwaga wanawakumbuka manice guy baada ya kutendwa na kutumika sana.
Siwezi kua motivated na ndoa ya mtu! Ndoa zina siri sana afu watu wazima wajanja sana hua hawakwambiii changamoto za ndoa always wana-preach positive side!😂😂 kama dish haijayumba basi angalia ndoa iliyo njema ikumotivate nawe kuoa 💃
Hv kwanini wamama/wadada na wakubwa wengine ndo wanahamasisha sana ndoa kama ni kitu jema mbona tutaoa tu vzr!Watoto wadogo hawawezi kuelewa Mpaji Mungu Good Vision
Marry ur friendSiwezi kua motivated na ndoa ya mtu! Ndoa zina siri sana afu watu wazima wajanja sana hua hawakwambiii changamoto za ndoa always wana-preach positive side!
Ndoa ni kitu ya kuogopwa sana, hv unakaa na mtu maisha yako yote🤣dadeq kama haitoshi nikirudi saa tano usiku natakiwa nijieleze nlikuw wapi? anyway ntaoa tu maana usipooa jamii itakudefine kwa namna nyingi
Ukiishi kwenye nyumba kubwa ndio hamna hizo purukushani.??Tahadhari ya mwanzo juu ya suali la ndoa ni kuwa ikiwa unaweza kukodi chumba tu na sio nyumba basi usioe na wala usiishi na mwanamke wako. Kuishi katika chumba kimoja cha kukodi na mke/girlfriend ni kujitafutia pressure bure. Maisha ya chumba kimoja ni maisha ya single person.
Hv kwanini wamama/wadada na wakubwa wengine ndo wanahamasisha sana ndoa kama ni kitu jema mbona tutaoa tu vzr!
Mipango ya kando ya nn tenaUkiishi kwenye nyumba kubwa ndio hamna hizo purukushani.??
Cha muhimu hpo ni kuwa na michuzi mingi ukishaoa ukamuweka ndani then tafuta mpango kando mmoja aliyetulia bas umemaliza
😁😁😁Naoa afu tunakaa mikoa tofauti, biashara ya kuhemeana kila siku sitakiMarry ur friend
Oa mtu mtakayekuwa mnarudi wote saa 5.
Hamtaulizana.
😂😂😂
Wa kukusaidia kufanya maombi mkigombana na wife mkubwaMipango ya kando ya nn tena
Ndio maana mnakufa mapema 😃😃
😂😂😂😂😂 mkoa ni mmoja😁😁😁Naoa afu tunakaa mikoa tofauti, biashara ya kuhemeana kila siku sitaki
Raha ya Ndoa ni watoto, non stop supply of utelezi na kampan kwa kipindi flan flan the rest ni majanga kwel kwel😂😂😂😂😂 mkoa ni mmoja
Kitanda kimoja
Mkichoka kuhemeana, mnalala mzungu wa 4
Hata usaliti unasameheka, labda kama inajirudiaKosa zito kwenye NDOA ni usaliti tu
Hayo mengne yanavumilika
...
Bonge la hoja wakiichukua hii watu wanaoingia kwenye ndoa wataishi vizuri sana na wenza wao.Cha muhimu uwe mwanaume kweli na kabla hujaoa hakikisha usilazimishe mapenzi kwa mwanamke, usitumie nguvu kubwa kumshawishi mwanamke awe na wewe maana kama ulitumia pesa siku pesa zikiisha atakuzingua tu, hakikisha unaoa mwanamke ambae anakupenda, kama hujapata usioe.
AiseeNina jirani yangu ana mke wake wana mtoto mmoja wa kiume miaka 2 hivi. Jamaa mkimya sana na mke wake ana ukimya wa kuigiza akiwa na watu wengine lakini akiwa na jamaa hasa hapo nyumbani huongea sana na kumfanyia visa mshikaji, sometimes unasikia jamaa analalamika kwa nini mkewe hajapika na pesa kaacha,anamkamata na sms za kutongozwa anasamehe, jamaa hana mengi kwa muonekano lakini anaonekana jasiri sana.
Sasa juzi kati hapa tulisikia purukushani asubuhi kumbe jamaa aliamua kumshushia mkewe kipigo, kwa taarifa alimpiga teke la uso mke akazimia then akatupa macho juu kama mtu anaepigania roho, jamaa akaanza kumpa first aid mwenyewe demu wake akaamka, jioni saa kumi hivi kaja kukamatwa na migambo kalala sero siku tatu siku ya nne mke kaja na shemeji yake (mme wa dada yake aliepigwa) mke akawambia police sitaki kesi na mme wangu naomba mfute, wakakataa wakasema nendeni mahakamani kufika mahakamani mke kasema hivo hivo kisha akaongeza kwa kusema ambacho hataki ni kukaa na jamaa tena! So jamaa kakubali kumwachia chumba sasa hivi hana pa kulala anadoea kwa washikaji huku akijipanga.
Kwa maelezo ya jamaa anasema tangu amuoe mke wake amekuwa ni janga la ndani amevumilia sana na hata siku anampiga hakujuwa imetokea vipi anajutia sana. Kisa cha kumpiga mke kasema jamaa alimuomba pesa alizompa jana yake (siku moja kabla) kwa hiyo mwanamke hakutaka kumpa kwa sababu hakujuwa hizo pesa anapeleka wapi? Na jamaa anasemamke wake amekuwa na dharau halafu hana mapenzi ya dhati na ni yule mtu wa pesa mbele licha ya jamaa kunitahidi kutoa huduma.
Binafsi (mimi mwandishi) nimeona mengi sana nataka nisemee upande mmoja wa wanaume wanao nyanyaswa na wake zao,kiukweli wananikatisha tamaa ya kuja kuoa.
Inauma sana, jamani ebu kama mtu humpendi bora ukaachana nae sio kumfanyia visa anakupiga mwishowe akuuwe akaozee jela sometimes hasira hazipigi hodi.
📌📌📌📌umeongea kiume sasaMwanaume ukisema hutaki/unaogopa kuoa kuna mawili utakua siyo rizki unasubiri kuolewa au we mwenyewe ni mtoto mchelemchele unaogopa majukumu.
Mwanaume ikifika wakat inatakiwa uanzishe familia haijalishi ulishuhudia mangapi kwenye ndoa za wenzako, Kama umeona mabaya basi zipo pia ndoa ambazo watu wamedumu na wanaishi kwa amani japo changamoto zipo kwakua binadam hamuwez kukaa muda wote mkiwa mnaelewana tu
Sasa usichague upande mmoja wa ubaya wa ndoa yapo mema mengi pia .
Cha muhimu uwe mwanaume kweli na kabla hujaoa hakikisha usilazimishe mapenzi kwa mwanamke, usitumie nguvu kubwa kumshawishi mwanamke awe na wewe maana kama ulitumia pesa siku pesa zikiisha atakuzingua tu, hakikisha unaoa mwanamke ambae anakupenda, kama hujapata usioe.
lakin cha muhimu pia uwe na maamuzi magumu ukiona imefika mwisho usibembeleze ndoa achana nae.c