jichonyanya
New Member
- Nov 25, 2013
- 2
- 0
Mimi pia niko macho lete story
Hahahahhah utakutana wa wanga shauri yako...
Aiseee mezea tu bibi maana imenitonesha donda!!!!
mmmh, ngoja nisepe kona hii wasije wakaona hata huu mwanga wa sim wakanitokea.
Naona leo kuna harufu ya ugeni humu,ama naota?
Mapi alikuwepo but sijui ameenda wapi tena!!Naona leo kuna harufu ya ugeni humu,ama naota?
Kwa yuleeeee...😉😉😉😉😉
Naona leo kuna harufu ya ugeni humu,ama naota?
Ahahahahahaha muoga😛😛😛😛😛
umenifanya naogopa hata kuangalia avatar yako
Naona leo kuna harufu ya ugeni humu,ama naota?[/QUOTE Mapi alikuwepo but sijui ameenda wapi tena!!
Dj mbona kaingia mitini.....
Na leo haturushi roho akh😡😡😡😡😡
Upweke upweke eeeeh...
Poleee....
he he he hewalaa......itabidi tumpake wanja wa sunna huyu Mtoto halali na helaNatisha eeeh....kitu smokey hiyo au vipi shosti mimi49..
ahsante!He jmn!! Pole mwaya
tutazirusha wenyewe subiri nishibe kwanza!Dj mbona kaingia mitini.....
Na leo haturushi roho akh😡😡😡😡😡
Ngoja tumsubirie
Japo tuimbe wenyewe....hebu anza na ile ya khadija kopa top in town lol...