Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,848
- 2,741
hahahaha...mmmh! nipo wapi hivi?Mnaongea nini hapa nyie!? msijejisahau mkadhani mko PM hapa.. ni angalizo tu..
hahahaha...mmmh! nipo wapi hivi?Mnaongea nini hapa nyie!? msijejisahau mkadhani mko PM hapa.. ni angalizo tu..
Mnaongea nini hapa nyie!? msijejisahau mkadhani mko PM hapa.. ni angalizo tu..
ewaaaaaaaaaaaaaa!! labda ufunike machoMwenzangu weee naja na ushungi wangu😛😛😛😛😛
Mazoezi nafanya mapemaa? Nsijechekwa msai kaingia disco😉😉😉😉😉😉
hahahaha...mmmh! nipo wapi hivi?
farkhina niliambiwa umenimiss unanitafuta..... prove me right..
kumbe we ndio unaturusha humu..
Naiamini playlist yako...
Kama nilisikia ulienda selo,au nafananisha?🙄🙄🙄🙄🙄
Kuna bwana mdogo alikuja na stress zake huku chit chat asijue huku ni stress free zone , kaja kijinga nikamrudisha kipumbavu, si akaniripoti kwa kaka abuse....!? nikapewa ban ya mwezi... nikakata rufaa nikaachiwa in less than 22 hours. thumb up kwao mods..
Kabisa nakutafuta nkishindwa kurusha roho unipe company kucheza hizi.
http://m.youtube.com/watch?v=KyMFI9PYaf8
Hongera sana....welcome back
hahahahaha...vaa kofia ya bati, miwani utanionaNivae miwani kama hii😎😎😎😎
Wa Wa Waaaaaa.....Kuna bwana mdogo alikuja na stress zake huku chit chat asijue huku ni stress free zone , kaja kijinga nikamrudisha kipumbavu, si akaniripoti kwa kaka abuse....!? nikapewa ban ya mwezi... nikakata rufaa nikaachiwa in less than 22 hours. thumb up kwao mods..
Subutu...sinaga