haya mkuu msalimie shemeji yangu mwambie ntamletea zawadi nzuri.
umelala kwani?
Nipo bana
Mida yetu ndio huu umefika farkhina uko wapi mama msosi wa jana uliokuwa mtamu sn Valentina Nambe Jerrymsigwa Ngongoseke Jawilat, Honey Faith tuanze kugawana majukumu !
Mbona kimya sana mwenzetu....salama lakin?
Mmmmmmh ntarudi badae kdg
Mbona kimya sana mwenzetu....salama lakin?
mi ujue hapa nasubiria huo msosi...
Mhhh huku leo kumepoa hebu nielekee fb nikakipige mzinga ki-ATM machine changu...
Weekend hii haisomeki....
Nambe we ni jembe la ukwei..Mhhh huku leo kumepoa hebu nielekee fb nikakipige mzinga ki-ATM machine changu...
Weekend hii haisomeki....
Minakuja niko krb tu. farkhina upo mkuu?