mi nachagua basi ! Wewe tu utakachoamua ata shurba siyo mbaya.
Chagueni haraka basi...
mi nachagua basi ! Wewe tu utakachoamua ata shurba siyo mbaya.
Mambo Honey Faith mis you
sawa vp lakini hali ? Nasikia ulitumwa chumvi ukaenda kimoja?
Nasikia mlango unagongwa sijui ndo mume anarudi ngoja nikamfungulie mlango then tuendelee na story na wenye vinywaji wavilete kabisa
Nasikia mlango unagongwa sijui ndo mume anarudi ngoja nikamfungulie mlango then tuendelee na story na wenye vinywaji wavilete kabisa
hivi yule anaekimbia kuosha viombo anasingizia ugeni ni wewe au NgongosekeMmmmmmh ntarudi badae kdg
Me nina stress za kutosha..yaani usingiz hauji kabisaa...dah..kichwa cha umaa
Me nina stress za kutosha..yaani usingiz hauji kabisaa...dah..kichwa cha umaa
hivi yule anaekimbia kuosha viombo anasingizia ugeni ni wewe au Ngongoseke
Chumvi ikawa chumvini...?
billy unaanza kuwa mtoto mbaya?...aha aha aha mkuu unanivunja mbavu kwaio Jerrymsigwa alizama chumvini dah hatari.
hapa hawezi ata kidogo nakulinda ok vp msosi mda gani chumvi nshaleta