mosesnicolus
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 285
- 26
mimi hapa
unakunywaga drink gani?
mimi hapa
unakunywaga drink gani?
john walker red label
Mida yetu ndio huu umefika farkhina uko wapi mama msosi wa jana uliokuwa mtamu sn Valentina Nambe Jerrymsigwa Ngongoseke Jawilat, Honey Faith tuanze kugawana majukumu !
sijui wangapi ila mimi nimowangapi wanatumia kilevi humu?
mbona unafikilia sana! nikukupa offer will yo accept it by 2mrw?
sijui wangapi ila mimi nimo
Mida yetu ndio huu umefika farkhina uko wapi mama msosi wa jana uliokuwa mtamu sn Valentina Nambe Jerrymsigwa Ngongoseke Jawilat, Honey Faith tuanze kugawana majukumu !
hope wote mnakunywa spirits humu?
nataka niwaandaliye kikao
Leo mtakunywa maji tu.....
Maana Jerrymsigwa nimemuagzia chumvi apo nje dukani hajarudi mpaka saivi...
Kuhusu nini?
mi njaa inauma ntaenda kukopa chumvi pale kwa mgosi akikataa ntaenda kwa mpemba my dia farkhina chakula kilivo kitamu ehee.
Mida yetu ndio huu umefika farkhina uko wapi mama msosi wa jana uliokuwa mtamu sn Valentina Nambe Jerrymsigwa Ngongoseke Jawilat, Honey Faith tuanze kugawana majukumu !
Sasa leo pishi gani?
Shurba?
Mmmmmmh ntarudi badae kdg