Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Ninampango wa kufuga kanga ila sijajua kama mayai ya kanga yanawateja baada ya kukutana na wewe nikaona niombe ushauri kwako kwasababu unaonekana ni mtu makini.

Sijui lolote mie....
 
Tumia mwenyeo tu...za kwangu zanitosha alhamdulillah..

Najua za kwako zinakutosha ila ninahitaji company yako. Najua kaka na dada hakuna kitakachoharibika.

Ukikataa itabidi nianzishe mradi wa kuuza mayai ya mbuni.
 
Back
Top Bottom