Leo kidogo umejtahidi kuwahi kuleta maguu
Hahhahhha mwenzangu weee saivi nawakimbia....ntarudi after 2 hours lol
Leo kidogo umejtahidi kuwahi kuleta maguu
mbona kumepoza humu sana! hamna hoja za kuchangamsha?
Hahhahhha mwenzangu weee saivi nawakimbia....ntarudi after 2 hours lol
jamani mie pia nataka leo nikeshe hapa ila nina njaa sijui mmepika nini wapendwa?
Ebu fungua mziki m1 kwanza wa kutueka sawa
Mwenzangu apa leo naona watu wanatega kupika.
Unaenda wapi tena wewe???
E..gomba ndo nn tena?
mie sabufa sinaa mziki hautanoga...
uwiiiii jamani mbona nimezidi kunyong'onyea
kama hawa?View attachment 125329
kama hawa?View attachment 125329
Ndo nini kutamaniahana jmn! Ona sasa hamu imenijia
umelala kwani?
wangapi wanatumia kilevi humu?
hehehe unafahamu kwamba visichana ni konyagi za chupa ndogo?.Halafu jana kwa kuwa nilivaa koti refu na kofia ndio ukajua mie wa kiumeee...
Zile zilikuwa mbinu tu za kiintelijensia ...mie mdada bwana lol Red Giant...leo kama jana...ila nna ahadi ya dompo kutoka kwa Jerrymsigwa...
Halafu leo mie mtandika mkeka na muondoa vyombo baada ya mlo...so itabidi niwe mpole...